Unapobakisha beki watatu nyuma unatakiwa na kuwa na mabeki shupavu sio kina Evans ambao wanafanya makosa mengi hii inasababisha viungo kukosa imani na mabeki na wao wanajikuta muda mwingi wanasaidia beki, washambuliaji nao inabidi warudi kuchukua nafasi ya viungo na timu inachoka haraka