Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Asante sana Ntuzu yaani kuanzia jana mpaka leo ilikuwa ni siku ngumu sana kwangu,atleast now niko fit hope hasira zote kwa QPR.

Pole sn everlenk ndio mpira ulivo.... Naamini kwa QPR mtarudi tena ktk fomu......!
 
Last edited by a moderator:
You are an impossiblehour case .you Kwa hiyo Arsenal tunavyolalamikiaga jinsi marefa wanavyosababisha tufungwe (dhahiri)haihesabiki kuwa ni kisingizio au hii rule ina apply kwenu tu?

Mimi shida yangu kubwa ni visingizio vyenu vya majeruhi kila mwaka...hayo mengine ni kunogesha jukwaa tu, ila uwa ni ukweli mtupu..
 
Asante sana Ntuzu yaani kuanzia jana mpaka leo ilikuwa ni siku ngumu sana kwangu,atleast now niko fit hope hasira zote kwa QPR.

QPR akicheza kwake anakua sio team ya masihara hata kidogo!Muulize jirani yake alivyo fanywa Loftus Road

Lolote linaweza tokea pale ehehehehehe
 
Last edited by a moderator:
Nzi RRONDO everlenk
Napita zangu toka shambani Ikwiriri,nilikuwa nawasalimia tu maana hapa ni kimywa sana siku hizi jamani
 
Last edited by a moderator:
Tunampigia mahesabu QPR sasa...

Yule Charlie Austin akiwa pale kwake anakuwa mtu mbaya sana!Nendeni kwa tahadhali sana la sivyo Moyes ataonekana genious kwa LVG

Kumbuka Moyes with only £ 67 Milion to spent kwenye game 21 alikuwa na 37 points the same as LVG with nearly £200 Million to spend

Ahahaahahaha!
 
Huwezi kuwalinganisha DM na LvG kwa kuangalia suala la points tu...hicho kinaweza kuwa kigezo kimojawapo kati ya vingi...
 
Huwezi kuwalinganisha DM na LvG kwa kuangalia suala la points tu...hicho kinaweza kuwa kigezo kimojawapo kati ya vingi...

Moyes' Low budgeted squad to be equal with LVG's most expensive squad does not sound vizuri kwangu!

Anyway tuwe na subira
 
nadhani ni wakati muafaka wa kumpa el tigre falcao muda wa kucheza.. sasa mtu pesa zote zile afu unamuweka reserve team. come on van gaffi
 
nadhani ni wakati muafaka wa kumpa el tigre falcao muda wa kucheza.. sasa mtu pesa zote zile afu unamuweka reserve team. come on van gaffi

Falcao Vs Baloteli
Nani atakuwa biggest floppy of the season
 
Falcao Vs Baloteli
Nani atakuwa biggest floppy of the season
mkuu balotelli kacheza 760 minutes kwenye epl with nothing to show, utamfananishaje na el tigre falcao aliyecheza 604 minutes with 3 goals and 3 assists+ struggling to get match fitness.

nadhani balotelli ungemlinganisha na babu lambert
 
Season haijaisha, baloteli anaweza kufufuka...ila kwa upepo ninavyouona sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…