L'pool walianza vizuri sana, I hope hili goli halitawakatisha tamaa na kuanza kukimbia kimbia hovyo kama hawajui nini cha kufanya.
Game inavyoenda red card kwa united ni obvious
Tema Mate chini bana.....
Tunacheza sana rafu mkuu
Hii mvua ya kadi itatugharimu....
Kwa uchezaji huu its obvious red card ipo
Ila hata LP wanazicheza rafu .....
Walinda mlango wetu si wazuri sana LP wakijipanga watapachika bao....