Manchester United (Red Devils) | Special Thread


mkuu unachafua hali ya hewa huku,mambo ya kucopy na kupaste ma live commentary ya sky sports sijui wapi acha bana, au weka link anayetaka afate huko huko.
 

mkuu unachafua hali ya hewa huku,mambo ya kucopy na kupaste ma live commentary ya sky sports sijui wapi acha bana, au weka link anayetaka afate huko huko.
 
kuna timu moja inaitwa Southampton hivi hii timu ipo ligi ya Spain! manake sijaiona kwenye orodha yako.



Mkuu Soton hajacheza na timu kubwa na ratiba yake kuanzia kesho atakua na timu ya kawaida lkn ni wabishi lkn kuanzia tarehe 30 na 3 na 8 na 28 atakua na kz kubwa na hivyo anaweza akawa hayupo ktk Hiyo nafasi ya pili ambayo Yuko Sasa!
 
Dah! Huyu rubaman hadi nilishamsahau!! Sijui kapotelea wapi maskini!

Nipo mkuu nilichukuwa rikizo JF. Anyway, hongera kwa kutuotea mlikuwa na 1 shot on target plus Own goal. Timu zote mbili ni majanga msimu huu, lakini ligi haijaisha.Tutaona atakayemaliza juu ya mwenzake.
 
Reactions: Nzi
Nipo mkuu nilichukuwa rikizo JF. Anyway, hongera kwa kutuotea mlikuwa na 1 shot on target plus Own goal. Timu zote mbili ni majanga msimu huu, lakini ligi haijaisha.Tutaona atakayemaliza juu ya mwenzake.

Tatizo nyie hamtaki kukiri kuwa Wenger kaishiwa! Siye tunajua tatizo ni backline tu...dirisha dogo tatizo litatufutiwa jibu.

Nyie mko tayari kumfungashia virago Wenger?!
 
Wenger aendelee kukinoa kikosi cha Arsenal tuwe na uhakika wa point 6 kila msim...
 
Wenger aendelee kukinoa kikosi cha Arsenal tuwe na uhakika wa point 6 kila msim...

Kama...sio....points 6.....ni...nne...mkuu.....tena...hapo..wapo...kwenye....form.....balaa
 
Arsenal have confirmed that a fan was arrested after throwing an object towards Manchester United's bench after the visitors' opening goal at Emirates Stadium on Saturday.
 
Edo Kumwembe-
....1-2......Hehehehe na kuna siku Manchester watapanga mawe 11 uwanjani na kuifunga Arsenal... Nani anabisha? Wenger katika ubora wake....
 
RvP majanga.

kitu kimoja alichonifurahisha LVG ni kumuweka benchi ADNAN JANUZAJ....dogo kapewa nafasi sana analeta ujinga baada ya kupiga kazi,sasa benchi litamuhusu....anaefuata ni RVP soon ataanza kukaa benchi, ataanza taratibu kumpunguzia dakika anazocheza....nawavulia kofia watu kama A.VALENCIA wanavyofight kwa ajili ya timu, WAYNE ROONEY huyu ni kama wachezaji watatu ndani ya mwili mmoja, beki yeye,midfielder yeye..striker yeye angalia goli la pili alivyofunga!

ingawa CHRIS SMALLING watu wengi hawampendi ila ni beki mzuri sana...wengi wanaona akifanya kosa tu ila akiwa anacheza vizuri hawamuoni,mechi na man city kwa kweli alifanya stupid mistake na bahati yake sana majeruhi yamemnyima option LVG ikabidi ampannga na hakumwangusha meneja wake.
 
Ni aje best? Sema umaliziaji ndio mgogoro Best, si umeona tulivyotandaza kandanda leo hata kusuuzika na roho yako? lakini ikija kwenye kwechi kumunet ndio mgogoro tena si mdogo.

Aisee itabidi mfundishwe namna ya kuchomeka,lol
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…