Kukata tamaa? Chel$ki$ wameponea tundu la sindano…stats don't lie chifu...
Perfect ending...unbelievable...
RvP kachoka sasa aiseee..
Ni heri kufungwa na goons ya Wenger kuliko timu ya mpiga domo Maureen...
nye na sisi hii draw imemwumiza nani,tena kwenu.Kukata tamaa? Chel$ki$ wameponea tundu la sindano stats dont lie chifu...
View attachment 196713
Hakika sisi ndiyo imetuumiza, si umeona kocha wetu alivyohuzunika?? Viol
Acha ushirikina chifu, goli la RvP limewauma sana mlidhani mtapata mteremko, lakini mmeponea chupuchupu pamoja na beki yetu ya tia maji tia maji...
Stats dont lie...
View attachment 196714
Kwa upande mwingine nikaangalia hizo stats, naanza kuumia na kuwaza tungewapiga nyiye ili mpiga domo wenu mkuu apige domo zaidi...
Mumpige nani mkuu? Mmeshindwa nini kutupiga mpk mmepata hiyo sare ya kubahatisha? Na mumshukuru refa....!
View attachment 196713
Hakika sisi ndiyo imetuumiza, si umeona kocha wetu alivyohuzunika?? Viol
Acha ushirikina chifu, goli la RvP limewauma sana mlidhani mtapata mteremko, lakini mmeponea chupuchupu pamoja na beki yetu ya tia maji tia maji...
Stats dont lie...
View attachment 196714
Kwa upande mwingine nikaangalia hizo stats, naanza kuumia na kuwaza tungewapiga nyiye ili mpiga domo wenu mkuu apige domo zaidi...
Nye ni kati ya timu kubwa tunazokutana nazo na nia ni kushinda au draw,maana mgetuharibia,but hata kwenu hatupotezi,tofauti na nye mliowaachia madogo wengine wawaharibie mtaweza man city mechi ijayo?
Sasa umekuja katika sense za kisoka...
Mechi ijayo ni ngumu sana kwetu ila kwa kipindi hiki uwa napenda timu kuonekana underdog, naamini hata wachezaji wakiwa na mtazamo huo wanakuwa hawana presha sana kwa vile kapteni Rooney atakuwepo, Carrick na Herrera watakuwa fiti zaidi, na Falcao atakuwa fiti naamini, basi lolote lawezekana, Shitty safari hii timu yao si imara sana. Toure na Silva wamepoteza game yao kama ya misimu miwili iliyopita, wakiwa hivyo, basi tunaweza kuondoka na point, kama siyo points pale Etihad..
Cheki stats chifu refa kafanyaje? Unataka kusema kibinda nkoi ivanovic hakumfanyia foul Di Maria ama?
badhani unamaanisha belahino ndio mrundi..
Hizo stats hazina umuhimu wowote kwasababu unaweza ukapiga shuti ukalenga goli lkn Hilo shuti likawa km la mtoto na halina mazara yoyote lkn ktk stats likaandikwa.
Stats zangu km hive sasa;
Drogba amekosa goli la wazi De Gea akapangua.
Refs katunyima Penalty ya wazi kabisa..
Hazard alikosa goli la wazi kabisa.
Foul aliyotoa refa na kumpa kadi Iva sio halali...!
Aya zako wewe zikoje mkuu?

Duh! Kwa heri...
Hongera kwa ushindi wa goli 4 kama ulivyoahidi jana
Hongera zimwendee refa kua mchezaji wa 12 wa Man Utd.....!