Manchester United (Red Devils) | Special Thread

man u hata wakiwafunga magoli kumi timu pinzani wakiamua kufunguka na kushambulia kwa kasi yanarudi yote , hakuna beki pale yenye uwezo wa kuhimili pressure . Huwezi kuchukua mabeki toka timu b waje wacheze bpl.


Mkuu ligera tumeshaweka kambi humu mkuu! Nimefurahi kuona uwepo wako mkuu!

Kweli Chelsea tunatisha...!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ligera tumeshaweka kambi humu mkuu! Nimefurahi kuona uwepo wake mkuu!

Kweli Chelsea tunatisha...!

Ukiona jirani yako anahamia kwako ujue kuna vitu anavitatamani kwako.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ligera tumeshaweka kambi humu mkuu! Nimefurahi kuona uwepo wako mkuu!

Kweli Chelsea tunatisha...!

we acha tu safari hii yaani raha tupu ukiwa chelsea . Man u , man c , arsenal na lvp wanakabana koo huku chini , sasa maisha ni raha mustarehe
 
Last edited by a moderator:
Ukiona jirani yako anahamia kwako ujue kuna vitu anavitatamani kwako.

wakati mwingine inakuwa kinyume chake. Hata marekani taifa kubwa linapo poromoka kiuchumi kila mtu ina kuwa gumzo mitaani
 
wakati mwingine inakuwa kinyume chake. Hata marekani taifa kubwa linapo poromoka kiuchumi kila mtu ina kuwa gumzo mitaani

Ndicho nilichomanisha kila mtu mtaani anakuwa akiitamani kimoyo moyo.
 
Msikimbiane huko mbele ya safari.

aah wapi. hamna wa kumkimbia safari hii. mtaichukia sana cheksea mwaka huu lakini lazima mkubali matokeo kwamba Mour ni zaidi ya pelligren, wenger, van gall.
 
aaah,aah, kiroho roho eti . Hivi kwa nini mashabiki wengi wa man ni wababe , wabishi na wana jiamini sana

Nyie ndio mnatuweka juu, na ni lazima kwani hakuna timu nyingine yenye mafanikio kiasi cha kuongelewa na kila mpenzi wa soka ya EPL.
 
Najua kaka yaan tukipata matokeo game hizo tano znazokuja kiukwel tutakuwa na nafas nzuri sana ya kurudisha ndoo mtaa wa pili frm where it is currently
endeleeni Kuota ndoto zenu za mchana,inamaana wakati mnashinda hizo mechi tano timu zingine zilizojuu yenu kwenye msimamo wa ligi watapoteza mechi zote au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…