Arsenal tuliowachapa 2-0 juzi huwezi kuwafananisha na Man U,arsenal wagumu kuliko hawa
Mourinho anamtambua vizuri sana uyo mzee so mourinho hatoongea upumbavu wake mbele ya uyo dingi yaani ata akishinda mourinho apo ni respect mkuu atawachezea ao ao akina wenger na akina rodgers
Mkuu tangy msimu Huu uanze Man Utd hajakutana na timu kubwa sio?
Ni rahisi sana Man U kuifunga Chelsea kuliko Southampton. Wenye akili wameshaelewa hapa
Duh! Mpira ungekuwa hivyo, basi ingekuwa rahisi sana.
Kwahiyo Leicester City alivyoifunga timu ngumu ya United, walipaswa waifunge timu nyepesi ya QPR bao 10 siyo?!?
Ndo maana yake,wasikilizie hiyo jumamosi
Hizo timu ndogo hazitabiriki ingawa man u nayo ipo kwenye huo mkondo ingawa inajikakamua.
Jitoe ufaham hivyo hivyo.Arsenal tuliowachapa 2-0 juzi huwezi kuwafananisha na Man U,arsenal wagumu kuliko hawa
Kwa hiyo game ya tarehe 26 ndo game Yao ya kwanza kubwa kwa msimu Huu eti Nzi ??? Aiseee sipati picha...!
Mkuu Viol tumecheza big game mbili, Man City na Arsenal. Tumeona jinsi tulivyo makini sn hasa ktk hizi big game..! Hatujapoteza ata game moja mpk sasa. Sasa Hawa Man Utd inapaswa tuwe makini Zaidi na kucheza mpira sn na pia ninahisi ktk hiyo game kunaweza kukatokea kadi nyekundu au penati.
Cc: Kituko
Yah historia ijiandikeHii maneno ikumbukwe usije kujitoa ufahamu baadae!.
Siyo kujitoa ufahamu ni realityJitoe ufaham hivyo hivyo.
Mpira hauchezwi hivyoHii game ndo itamkatisha sana tamaa van gaal,Nishaanza kuvuta picha Hazad anavyoingia ndani ya 18
sasa wewe unataka uifananishe tim ya wanaume na tim ya vulana? Nyinyi mutaendelea kujifunza kupitia UNITED tu.Yah historia ijiandike
Siyo kujitoa ufahamu ni reality
Mkuu Kitoabu ndani ya Nyumba....! Safi sn mkuu.
Dua zetu mpk sasa msiwe na majeruhi. Yani timu yenu iwe full ngwamba ndo tukutane pasiwe na sababu Za kulia lia.
Hii game ndo itamkatisha sana tamaa van gaal,Nishaanza kuvuta picha Hazad anavyoingia ndani ya 18
Mpira hauchezwi hivyo
Nina wasiwasi ulichokiandika Mwisho wa siku utakuja jutia na kuomba bora wangeendelea kuwa majeruhi
Unajua mkuu ata beki Za Man Utd siku hizi siwafahamu kabisa..! Ivi ni manguli km Vicent Kompony au Zabareta au Beki zetu? Au Man Utd watawakumbuka daima Vidic, Rio, Evra, na Mzee Stam Wakati ule? Maana Kompony na Zabareta na Demichellis wanamfahamu Vzr sn Hazard.