Naona ni muhimu kwa ajili ya his presence kuharibu moves za hawa jamaa...
Shaw seems to be injured...
Dah kila mechi tunaogeza majeruhi...
Falcao out Wilson in
LvG ana mpendelea live RvP...Falcao game yake ilikuwa poa kuliko RvP leo..
Matta kachoka maana kati kati pamepwaya wataanza kupatia jamaa
Fellaini atamsaidia sasa..