Wakuu... hodi sana humu, najua mna furaha sana maana jana niliona mvua ya mawe... HONGERENI!!
Ila msisahau kutukumbuka katika sala zenu maana mgonjwa wetu (Liverpool) hajajigeuza tangu jumapili na mitungi ya gesi inaelekea kwisha
YNWA
Tunaomba tukikutana wiki ijayo msituharibie maana naona Torres kasharudiWakuu... hodi sana humu, najua mna furaha sana maana jana niliona mvua ya mawe... HONGERENI!!
Ila msisahau kutukumbuka katika sala zenu maana mgonjwa wetu (Liverpool) hajajigeuza tangu jumapili na mitungi ya gesi inaelekea kwisha
YNWA
Sometime naliiaaaaaaaaaaa halafu natulizia na ganjaaaa....Man U ni sooo
Mkuu poleni.
Hivi mmekatazwa kubadili daktari (Rafa)? Maana naona ukomo wake umefika.
tatizo mmesema hamna hela ya kumfuka.sasa gharama za kukosa champions league sijui ni ndogo kuliko pound mil 20?kale kajamaa sijui kachawi?? inawezekana wakienda kwenye kikao cha kumfukuza wanasahau
daaaaaaaaaaaaaaammmmmmmmnnnn!
de novo tutakuombea dua zote mkuu manake hizo dua zitanisaidia mie pia.kila la kheri mkuu wafunge wakubwa wote uliobaki nao kuonesha kwamba bado mko fit na matokeo yaliopita ni bahati mbaya tu .Wakuu... hodi sana humu, najua mna furaha sana maana jana niliona mvua ya mawe... HONGERENI!!
Ila msisahau kutukumbuka katika sala zenu maana mgonjwa wetu (Liverpool) hajajigeuza tangu jumapili na mitungi ya gesi inaelekea kwisha
YNWA
kale kajamaa sijui kachawi?? inawezekana wakienda kwenye kikao cha kumfukuza wanasahau
daaaaaaaaaaaaaaammmmmmmmnnnn!
Duh mambo ya bongo hayo. Banitez bado ni kocha mzuri sana kumbuka Wigan sio timu ndogo angalia perfomance yake, ingawa walifungwa magoli 9 - 1 na Tottenham waliwakung'uta Chelsick magoli 3 - 1 vile vile walitoka sare na Man City. Liverpool mlikuwa na majeruhi wengi na mlim-miss Torres.
eeerr nafikiri TORRES alikuwemo kwenye kipigo na WIGAN,na yeye ni victim wa kukosa magoli ya wazi siku hio,nawasubiria game ya na LILLE hapa after 20mins inaanza.
Torres katoka kwenye majeruhi hawezi kuwa kwenye kiwango chake kabla hajaumia itamchukua mechi kadhaa kurudi kwenye fitness yake. Wachezaji wengi hutofautiana kurudi kwenye level yao angalia Eduardo bado hajarudisha moto wake kabla hajavunjika mguu.
1/4 finals.....man utd vs arsenal, mzee hio imekaaje??au u fancy arsenal vs man utd??
Arsenal kwetu ni mdebwedo kama kawaida tutawadunda game zote,kila siku tunawafunga wote kina Song,Walcott,Clichy, Diaby wakiwepoMkuu we have got the team to beat anybody. We aren't one man team ... ... .. wachezaji wetu wengi majeruhi ndio hao wanarudi kumbuka Nasri, Walcott, Diaby, Song na Clichy wote hao walikuwa majeruhi kwa muda mrefu na Van Perse atakuwepo end of April kuja ku-rap up ushindi wa kishindo, wanaporudi lazima wapate mechi kuwa fit kwenye kiwango chao. Natumaini ulimsikia Arsene Wenger kwenye press conference yake.
Naomba isitokee draw kama hiyo kwenye 1/4 mana dah fedheha gani watakuwa nayoArsenal msimu huu...nje ..ndani..nje ..ndani si balaa hapo vichapo vinne kutoka kwa timu moja hii itamwondolea credit Wenger..hana njia/uwezo wakuwazuia mashetani wasifanye kile wakipendacho....Gooners tukutane nao Final kama watakuwa na jeuri hiyo