jaman mbona mme funga lakin mnachungulia kwenye uwanja wenu au mnasubir dakika 90.?
tupo mkuu tunaconcentrate kwenye game!
Nafikiri leo ni zamu yetu kushinda man u
WHU wakikaza kidogo TU...wanashinda hii mechi.
Nafikiri leo ni zamu yetu kushinda man u[/QUOT
kumbuka na leicister city hadi dakika ya 57 ilikuwa man u 3-1 laicister city..baadae
Nafikiri leo ni zamu yetu kushinda man u[/QUOT
kumbuka na leicister city hadi dakika ya 57 ilikuwa man u 3-1 laicister city..baadae
Leo tofauti na siku ile. Ushindi upo.
Hii leo pia kizungu mkuti man watakongwa.whm 1-2 man u