kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee pole kwa kipigo
Visingizio khe khe khe khe kheeeeeeeeeee
Umefufuka kisa Gunners kapoteza mechi khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee utakufa ni viroba.
BTW nachikia maria anataka kusepa kwenda Italy?
kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Arsenal Hamna lolote mmechoka tu
Tulikuwa ndo inafuataMlikuwa mnawasuta Liverpool kwa kuongelea historia.
Hivi punde mtajikuta mnajisifia kwa kuongelea historia pia.
kwa sababu yabu Fergie kuwa na influence kwa FA/marefa na media.
Mlikuwa mnawasuta Liverpool kwa kuongelea historia.
Hivi punde mtajikuta mnajisifia kwa kuongelea historia pia.
Kila timu ina good memories. Not only Man Utd. Pia kila timu ina bad memories pia. So, ukitaka uwe fair in your own self andika pia bad memories za Man Utd, past and present.
Kufulia kama goons ama?
Hivi unafahama katika European football, Forest wana status kuliko goons? Wewe shauri lako...
Kama historia ingekuwa haimati, usingesikia habari za La decima msimu wa jana.
Anyway, hata baharia anavyokupigisha stori jinsi alivyokuwa akila good times enzi zake, angalau anakumbuka namna alivyokula good times. Sasa wewe uliopigishwa story huna hata cha kudolishia watu kwa good times ulizokula, khaa!!
Hivyo, najua hupendi kusikia utamu wa historia ya United.
Goddam, hivi uwa unajisikiaje ukicheki ile classic final ya UCL pale Nou Camp May 1999? Aisee mimi mpaka kesho uwa napata ecstasy nikiangalia ile game.
Au uwa unajisikiaje ukiangalia jinsi Giggsy alivyochanja mbuga na kupenyeza kwenye msitu na visiki vya karibu timu nzima ya goons na kwenda kufunga goli kwenye 1/2 ya FA mwaka 1999? Hadi kesho nikiangalia, nashangilia kama ni live game!
Pia uwa unajisikiaje pale JT alivyokosa penati katika final ya UCL mwaka 2008; na Edo van der Sar kuokoa mchomo wa Anelka?!?
Naweza kuandika memories za good times za kibaharia humu mpaka kesho.
Ila, najua #WakaangaSumu hawapendi, ukweli mnaufahamu na matarajio yanaogopesh, United haiwezi kufa bloodfakken death kama loserfools au Forest.
Project ya LvG ni more promising than ya DM. Ingawa kama nilivyokuwa nikisema, DM alionewa bure; na matokeo ya msimu huu pia yameonyesha.
Kwa kumaliza, endeleeni kufurahia sasa (hizo ndizo zitakuwa stori zenu kwenye vijiwe, pale mtakapoanza kuwapigisha watu stori za kibaharia, na kusema jinsi mlivyokula good times kwa United kufanya vibaya).
Tchao.
Yes, but where is Nottingham Forest now? Oh nimekusoma hapo chini umesema walikufa "bloodfakken death".
Then, wakati mkiwa juu msingewaponda Liverpool kwa kujisifia kuongelea historia.
Simply means that enzi hizi hali tena good times. Kaisha.
Kama ambavyo mlikuwa hampendi kusikia historia ya Liverpool.
Sasa kama performance ya Man Utd ndo kama ilivyokuwa pale Leicester, what a Man Utd fan will be watching to keep going?
Surely, a Man Utd fan would watch the past of Giggs than the present of the like of Rafael anayepepesuka kama upepo pindi akiguswa.
Of course, a Man Utd fan would prefer to watch John Terry akiteleza than the current appalling defence.
Kila timu ina good memories. Not only Man Utd. Pia kila timu ina bad memories pia. So, ukitaka uwe fair in your own self andika pia bad memories za Man Utd, past and present
Time will tell.
Again time will tell.
Labda Fergie arudi.
......hahahaha, jana niliwaona wakikumbukia enzi zao Vs Spurs.
Saaaafi sana, umemjibu Nzi msitari kwa mstari, ni yeye tu sasa
kusoma 'in between the lines' kisha achague mtaa....
#BIGSam can't wait for the weekend na toothpick yake mkononi maana duhhh.....Arsenal tuna majeruhi ila
hawa wenzetu na defence yao uchochoro wote hawapo! Evans nje, Jones nje, Smalling hati hati,
yule mwingine mwenye jina kama Blanket Red Carded!....umebakia U-Rojo na yule jamaa 'Blind!'
Huyu nae anakula bata tu .. ..... .... .
Wataipata jiwe ya moto.Watu sijui awasomi history,yaliyomkuta Liverpool siyo mageni katika soka,yameikuta Real Madrid Tangu aondoke Vicente del Bosque Wamekuwa wanausaka ubingwa kwa tochi mpaka Leo hiii kila mwaka ni kununua wachezaji kwa bei ya juu lakini wapi,makocha wametimuka pale kila mwaka.
Watani zangu mjipange kuzoea kuzomewa.
Umefika wakati mashabiki wa man kubaki home na kuulizia matokeo kwa simu.
Usubuhi mwema
Ona mwingine huyu!! Ngoja nikusaidie kidogo:
1. Nianze na R. Madrid: Del Bosque alifukuzwa baada ya msimu wa 2003 kuisha (akiwa ameipa ubingwa timu). Sasa unaposema toka mwaka 2003 Madrid wamekuwa wakiutafuta ubingwa kwa tochi una maana gani? Kwa sababu toka 2003, Madrid wamechukua La Liga mara 3 (2006/07, 2007/08 na 2011/12); UCL mara 1 (La decima); UEFA super cup mara 1; na Copa del Rey mara 2 (2003/04 na 2012/13). Na pia Madrid ndiyo klabu ya soka tajiri zaidi duniani; kumbuka soka siku hizi ni biashara pia. Shinda mataji; huku ukichekelea wakati unaenda benki (naaminisha huku pochi la benki ni nene).
2. Nikija kwa Liverpool, nao toka mara ya mwisho kuchukua ubingwa wa ligi ya Uingereza (nadhani msimu wa 1989/90) wamekuwa na mafanikio makubwa tu ukilinganisha na na baadhi ya vijitimu kama goons vinavyopiga kelele bila kuwa na kikubwa cha kujivunia (labda chenga twawala, ambazo hata ukienda ligi ya Zenji unazipata). Makombe yao: 1. FA cups 3 (1991/92, 2000/01 na 2005/06); 2. UCL 1 (2004/05); na 3. UEFA cup 1 (2000/01). Ingawa ni haba lakini si haba ukilinganisha na kijitimu chako (sifahamu unapoegemea, lakini unaonekana wewe ni goons).
Nimeshawaambia sana nyie wakaanga sumu kuwa mpira wa sasa ni pesa tu….hata kwa hayo kidogo yaliyoikuta loserfools (ya kutochukua ubingwa wa ligi kwa muda wote huo), hayawezi kuikuta United. Nimewaambia mtasubiri sana hiyo hivi punde yenu. Sasa tupo katika project moja bab kubwa; mwaka huu sioni uwezekano wa ubingwa. Target kubwa ni kurudi UCL; kikombe chochote kitakuwa bonus.