Acha majungu wewe.......... uwe na safari njema afande.....Niko safarini mkuu bize sana.....will be back though!
Turudi kwenye mada..."Juma alipewa machungwa matano halafu akamgawia dada yake Lusi machungwa matatu. Juma alibaki na machungwa mangapi?"
"the world most expensively assembled mid - table team ."... Hehehe tweet ya flaviana matata
Poleni sana watani!Mungu awatieni nguvu kwa msiba huu mzito
MANCHESTER UNITED WAIJIA JUU FA
na mwandishi wetu MO11
carington Manchester
Klabu ya Manchester united wamefikisha malalamiko yao juu ya bodi ya shirikisho la soka la uingereza kwa kupuuza madai yao ya kuomba kucheza msimu mzima uliobaki na timu ya Queen park rangers.
Malalamiko hayo yenye namba 5-3/leiMan ambayo yalifikishwa mara ya kwanza tarehe 21-9-2014 ambayo yalitupiliwa mbali na shirikisho hilo.
Malalamiko hayo ni mara ya pili mfululizo kwa siku mbili yamekuja baada ya kichapo cha paka mwizi kilichotokea uwanja wa leicester city. Licha ya man u kuongoza magoli 3-1 mpaka dakika ya 57 mambo yaligeuka na kupokea kichapo hicho.
pia kuna tetesi pia wameomba magoli aliyoshinda chicharito akiwa na Madrid yaongezewe japo wapate suluhu ya magoli 5-5.
statistic
match 5
point 5
jana wamefungwa goli 5
Tukutane tena kesho
Adios

Majangaaa..............................
Mi naamini MANCHESTER UNITED muda si mrefu tutaanza zile amshaamsha zetu.maana kuna wengine humu wanatusumbua tu hawazijui hata historia za timu zao,mfano shabiki wa Chelsea na Man City wala wasiongee kwanza timu zao zimepanda ligi miaka ya 2000' baada ya kushuka daraja.Leo hii MAN Uinatereza kidogo mnaanza kuongea mengi mbona sisi tuna mengi ya kusema lkn hatusemi?.Kama kucheza UCL ndo kipimo cha ukubwa wa timu basi mashabiki wa Arsenal mkae kimya maana nyie hamjawahi hata kuligusa labda kuliona pinda mnadhalilushwa na Barca.
ONE LOVE IN JAH PEACE ALL RASTAFARIE
Ushasema wengine...hapa tunaongelea United..
That's too low for me to keep on discussing this with you.
Rafa is one the best RBs in the league, and you call him mayai.
The problem at United now is the CB, nothing else.
If you saw the foul that Vardy had on Rafa before the penalty award, then you keep on arguing the same, then you are another #MkaangaSumu