Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Niko safarini mkuu bize sana.....will be back though!


Turudi kwenye mada..."Juma alipewa machungwa matano halafu akamgawia dada yake Lusi machungwa matatu. Juma alibaki na machungwa mangapi?"

Dogo acha uchokozi.
 
Poleni wana Manchester United wenzangu. Kiukweli jana haikuwa siku nzuri hata kidogo kwangu na mpaka sasa bado nahisi maumivu kila nikikumbuka.
Lakini ili chuma kikomae na kiwe bora lazima kichomwe sana, hivyo tukaze moyo katika kipindi hiki cha mpito.

FOREVER UNITED.

N.B; Post hii ni kwa Red Devils tu washankunaku piteni mbali.
 
Arsenal ni wachovu hata kama walidraw na Leicester,ngoja tukikutana ndio utajua kuwa Arsenal ni vibonde kwa Man United

endelea kusubiria umfunge Arsenal wakati huku MK dons, Lester City, Swansea Wanaendelea kufanya yao.
 


Nakuunga mkono ndugu.
 

hahaaaa ungewaPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…