What i believe, LVG anataka kutengeneza permanent CB awe blacket. Ameshaprove failure. We need that experienced one.
DonDonald naona heshima inazidi kurudi hahahahaha.... Nzi, Belo,Bulldog,RRONDO last weekend niliwaambia mlipofuliwa na ushindi wa goli 4 dhidi ya timu mbovu QPR mkasahau jinsi gani beki yenu ilivyokuwa mbovu, leo mmethibitisha. Anyway, hampo tofauti sana na mid-table wengine kina QPR, Bunley, Southampton etc. Arsenal tulivyotoka na draw dhidi ya Leicester City mlitucheka saaaaaana. Loser!!!
Wanalifanyia kazi hilo
Sijaangalia game ya leo but naamini LVG anamkubali sana huyu dogo tatizo ni mtu wa kucheza nae so far amecheza game zote.Evans,Smalling,Jones kila siku wanaumia na kwa sasa Blacket yuko vizuri kuliko hao
Timu iliyopangwa haikuwa nzuri. Sampling na Bracket hawakupaswa kucheza. Shaw angelianza na JoJo angecheza katikati.
It is interesting for a manager to spend all that amount of money without bringing in a top defender wakati anajua wazi kuwa beki wake kama Rafael ni mayai.
Hummels aje tu. Kocha suka beki hiyo. Kila mchezaji ashajua wekaness yetu beki.
Pamoja na beki ya kati kuwa majanga..refa ni ***** sana...
Welbeck alibahatisha jana na alibahatika kufunga bao 1. link BBC Sport - Aston Villa 0-3 Arsenal
Chicharito alichacharika na kubahatisha na kabahatika kuuweka mpira wavuni mara mbili katika mechi ambayo Real Madrid wameshinda 8-2. link BBC Sport - Deportivo La Coruna 2-8 Real Madrid
Sijaangalia game ya leo but naamini LVG anamkubali sana huyu dogo tatizo ni mtu wa kucheza nae so far amecheza game zote.Evans,Smalling,Jones kila siku wanaumia na kwa sasa Blacket yuko vizuri kuliko hao
Nimeipenda hii kutoka kwa fan wa United...
"Todays result has ABSOLUTELY NOTHING to do with how the team played! It has EVERYTHING to do with DISGRACEFUL REFEREEING which handed the victory to LEICESTER.
A foul against Di Maria that should have earned a second yellow card and a red wasnt given, ABSOLUTE DISGRACEFUL awarding of a penalty and that shove on Blacket that should have attracted a foul.
Im so proud of the Boys. Yes we need to sort out the defense but the Referee today was an absolute DISGRACE to football!"
Rafael ndo katunyima raha huyo. Mtoto
TSent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums