Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukipata maumivu ya kichwa, TUMIA HEDEX!

Pole sana "MBURUKENGE" WOTE.

Bado Dada Maria na Fokolao wataisaidia M: disunited isishuke daraja. Bado ni mwanzo wa Ligi, Nzi na Mende msikate tamaa.

Bulldog anabweka kama "mbwa koko"! Next game, man! Man-up!

Hongera kwa mshindi."vijamaa nomaa"
 
Baiskeli ya miti imeshindwa kupanda kilima cha Kinondoni Mkwajuni.. Hahaahahahaha naapia leo inaweza kuwa siku yangu ya mwisho(for next 2 or 3 months) kuingia JF hizi banters zimeshanikinaisha. Hakuna raha wala ladha tena....
 
hahahahahahhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaahahhahahahahahhahahha uuuuuuuwi kikikikikikikiki hohohohohohohoho chachachahchahcha.....
 
Kila team ishajua udhaifu wetu. Tuta-suffer sana na hii beki.
 
_77727037_van-gaal-getty.jpg

What happened Mr. Van Gaffee
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

_77727041_cambiasso-goal-getty.jpg

Kabooom ... ....... ..

_77726761_nugent-goal-getty.jpg

and then kabooooom ... .
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW nachikia walipewa dakika 7 za majeruhi lakini sikio la kufa dawa halisikii.
 
Walivyokuja Falcao na Di Maria mlijisahau mkadhani watadefend.

Tulifurahi kwasababu tulihitaji wachezaji wenye goal ratio kubwa. Welbeck, Chicharito walikuwa kama wanabahatisha.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Tulifurahi kwasababu tulihitaji wachezaji wenye goal ratio kubwa. Welbeck, Chicharito walikuwa kama wanabahatisha.

Wengine hupenda kujenga timu kuanzia nyuma kwenda mbele not vice versa.
 
Ukipata maumivu ya kichwa, TUMIA HEDEX!

Pole sana "MBURUKENGE" WOTE.

Bado Dada Maria na Fokolao wataisaidia M: disunited isishuke daraja. Bado ni mwanzo wa Ligi, Nzi na Mende msikate tamaa.

Bulldog anabweka kama "mbwa koko"! Next game, man! Man-up!

Hongera kwa mshindi."vijamaa nomaa"

Nitajie team yako nije kukubwekea kwa nyuma siku utakayocheza.
 
Wengine hupenda kujenga timu kuanzia nyuma kwenda mbele not vice versa.

What i believe, LVG anataka kutengeneza permanent CB awe blacket. Ameshaprove failure. We need that experienced one.
 
Hilo mbona lipo wazi...CB 1 anahitajika...ndio maana Hummels yupo kwenye rada..

Hummels na defender nyingine classic zinahitajika mapito bado yanaendelea ila ubingwa hatuna mpango nao saaaana ila lazima tubebe ndoo moja ndani ya msimu huu tulianza na ya USA na UCL lazima next season tucheze Arsenal au Liver mmoja atapisha
 
Now we can talk. Hummels na mabeki wa maana wanahitajika.

Hilo mbona lipo wazi...CB 1 anahitajika...ndio maana Hummels yupo kwenye rada..

It is interesting for a manager to spend all that amount of money without bringing in a top defender wakati anajua wazi kuwa beki wake kama Rafael ni mayai.
 
It is interesting for a manager to spend all that amount of money without bringing in a top defender wakati anajua wazi kuwa beki wake kama Rafael ni mayai.

Shida sio ku-spend. Shida ni kutengeneza beki. Hela ipo hata ronaldo anakuja, kweli beki ni shida.
 
.... ubingwa hatuna mpango nao saaaana ila lazima tubebe ndoo moja ndani ya msimu huu tulianza na ya USA....

Huko USA, mlicheza na timu gani za Premier League zaidi ya Liverpool?

Ndoo za USA hazitambuliwi huko Ulaya.
 
Back
Top Bottom