Hahahahaha lol!!! Mmefufuka leo kwa kukutana na jamvi la EPL? Hivi baada ya kutia kibindoni hizi 3 points ndio mnakuwa na points ngapi vile? Na mnapanda mpaka nafasi ya ngapi vile?
Mhhhh! Kwa speed hii mtaishia njiani kwa mara nyingine tena mkija stuka nne bora za EPL zimeshapatikana na nyie mnarudi tena kwenye namba yenu maarufu ya mshindi wa saba lol!!!!. Ngoja tuone na mwendo wenu wa kikobe kobe mtafika wapi lol!!!!