We jiandae kuiona fedha ikicheza, kelele zote za nini?.........leo tupo hapa #MtaaWaSaba ! Gaal-aeticos watatoa taswira gani leo? Dakika 90 ndio mwamuzi.... :coffee:
.........leo tupo hapa [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=MtaaWaSaba]#MtaaWaSaba [/URL] ! Gaal-aeticos watatoa taswira gani leo? Dakika 90 ndio mwamuzi.... :coffee:
.........leo tupo hapa #MtaaWaSaba ! Gaal-aeticos watatoa taswira gani leo? Dakika 90 ndio mwamuzi.... :coffee:
najua leo kilio kingne kama sio draw man u lazima apigwe nishasema timu zinazomilikiwa na familia zimeoza sasa leo akishinda man u wewe nitafute tigo pesa nikutumie mtonyo
najua leo kilio kingne kama sio draw man u lazima apigwe nishasema timu zinazomilikiwa na familia zimeoza sasa leo akishinda man u wewe nitafute tigo pesa nikutumie mtonyo[/QUOfTE]
Mnakunywa viroba vyenu hukooh mnaona jf ndio sehem sahihi ya kutapikia matapishi yenu. Kama unajiamini kwanini usiweke ahadi ya ban japo ya mwezi mmoja tu.