Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

JE!! HISTORIA KUJIRUDIA TENA OLD TRAFFORD YA MWAKA 1986??


Mwaka 1986 November kocha wa wakati huo Babu Fergie akiwa ndo anaenda kuiongoza UTD katika mechi ya 3 akiwa hajapata ushindi wowote.

Mechi hiyo ilikuwa ni kati ya UTD Vs QPR katika uwanja wa Old Trafford
na UTD wakashinda kwa goli moja pia ukawa ushindi wa kwanza wa Fergie!!

******

NA LEO VAN GAL ANATAFUTA
USHINDI WA KWANZA TENA KATIKA UWANJA WA OLD TRAFFORD, JE ITAKUWA KAMA YA FERGIE
AU MAGOLI YATAKUWA MENGI LEO
HII?????

ImageUploadedByJamiiForums1410699531.012444.jpg

#CnP
 
Jaman mda unakaribia tujongee kwenye screen zetu tukawatazame mun u ni tm yetu na wale wakaanga sumu wa ars chels liver muwe wapole muangalie goz linavyosakatwa ONYO NI MARUFUKU KUCHAFUA UZ HUU MKUU @INZ NA WENGINEO Tuvumiliane tafadhal mpaka mpira uishe
 
NAAHIDI Kama mun u ikifungwa leo MODE nipige BAN ya mwez mmoja
 
The Reds come up against a familiar face as Rio Ferdinand starts for QPR, having made 455 appearances for United.
 
Manchester United's deadline day signing Radamel Falcao will have to wait a little longer for his debut after only being selected on the bench by Louis van Gaal for Sunday's clash with QPR.

The Colombia international, also joined on the bench by fellow debutant-in-waiting Luke Shaw, has been omitted in favour of a strike partnership of Wayne Rooney and Robin van Persie.

Marco Rojo and Daley Blind, both recruited this summer, are flung straight into the starting XI and will make their Red Devils debuts against Harry Redknapp's side.

There is a familiar face in the QPR team, meanwhile, as Rio Ferdinand returns to a ground where he spent 12 successful seasons. The veteran centre-back partners Steven Caulker as Redknapp returns to a back four.

Manchester United: De Gea; Evans, Rojo, Blackett; Rafael, Herrera, Mata, Di Maria, Blind; Rooney, Van Persie. Subs: Lindegaard, Shaw, Fletcher, Januzaj, Valencia, A Pereira, Falcao.

QPR: Green; Isla, Ferdinand, Caulker, Hill; Kranjcar, Sandro, Fer; Phillips, Austin, Hoilett. Subs: McCarthy, Traore, Onuoha, Henry, Vargas, Zamora, Taarabt.
 
[h=1]TEAM NEWS: Falcao on the bench for Man Utd, Rojo & Blind start[/h]
 
Marcos Rojo and Daley Blind make their United debuts, while Luke Shaw and Radamel Falcao could do the same from the bench.
 
Man United team v QPR: De Gea, Rafael, Evans, Rojo, Blackett, Blind, Herrera, Mata, Di Maria, Rooney, Van Persie
 
Back
Top Bottom