Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mi nahisi wewe ni mbu wa dengue si bure ama pia umeandagoo muteshen unaeneza ebola kwa Man U

.....mie? no way
bana, wao wenyewe Man United ndio wanaotapatapa kwenye #GroupOfDeath!....
:faint::faint:
wallah wewe mi nimesema napingua urafiki na wewe

".....ai wewe, haya bathi mie thiandiki tena, uthipingue urafiki,!"
Man U waendelee kukaa hapohapo Mid-Table.

 






Maria Angela alifikiri EPL ni chandimu
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee




Under inspection: Fungie & Co. (Front) David Gill and Bobby Charlton look on from the directors' box as Manure struggle





Maria .. ... .. .hoi!




Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

Mkuu siku hizi naona hutaki kuzungumzia mechi zenu hasa baada ya mpira, unabadilisha topiki haraka haraka kulikoni?
 
Mkuu siku hizi hunioni sio Mie nakusalimia tu au ndio urafiki wa kupinga na kupingua? Mie natizama breaking news zako!

Mkuu wewe uzuri wako sio hater kama hao wengine

Wewe lazima nikununulia jezi ya Di Maria, au unataka ya Vidal? lol

Ninasubili nione baloteli atakavyomchapa mangumi Stevie G kwenye mazoezi
 
Inamaana van gaal hajapata masoko ya Ashley Young, Anderson, Fletcher, Valencia???
 
Mkuu siku hizi hunioni sio Mie nakusalimia tu au ndio urafiki wa kupinga na kupingua? Mie natizama breaking news zako!

Mkuu DonDonald atakuwa amekupa pin kijuujuu na kakuvalia mawani ya mbao
 
Mkuu siku hizi naona hutaki kuzungumzia mechi zenu hasa baada ya mpira, unabadilisha topiki haraka haraka kulikoni?
Siku hizi tena kawa Mkali hata Scholes akiongelea timu sio mkali hivi labda Ndugu yetu Ice Bucket litamsaidia kupunguza hasira za Joto hata Mie basi hataki kuitikia salamu? Wacha1 punguza Jokes tunakosa marafiki usijali kesho na wewe utakuja tu Mie nakukaribisha DonDonald.
 
"Oh! My God!!! As a captain I can not tolerate this embarrassment anymore, we need to bring back SAF asap."



Jamani namtafuta Juda Iskariot nachikia kajificha huku na Van Gaffe
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hivi hawa watu wanaoichukia Utd walikuwaga wapi zamani?

Sitaki kuamini hawa wamezaliwa 2013-2014

Kweli mti wenye matunda mengi ndio hupigwa mawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…