We all understand that tatzo shda haizoeleki
Utaizoea tu mkuu subiri kwanza na Burnley na wao wafanye yao.
So #UtazoeaTu wala hata usijali.
Hehehe wachana nao nimekuja kukupa pole angalau wewe na Belo mlikuja kunipa pole Kule Kop sasa sijui hizi pole zitaisha hehe nimeona haitokuwa busara Kama sijakupa pole Belo ndio simuoni muwe mnamuwekea kidude cha oxygen awe anapumulia mwenzake Nzi kashazoea sehemu chafu.Ai!!!! Punguza basi vijembe ni mpito tu huu......
Thread ya kipuuzi,yaani hii timu ni collapsed empire,mashabiki wao lazima wana magonjwa ya brain
nilikuwa nataka kujua kama ipo hai,halafu nimekujua we unajifanya huna timu kumbe upo humu,bwahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhUnafanya nini sasa hapa kwenye thread ya kipuuzi,na wewe ni mpuuzi
nilikuwa nataka kujua kama ipo hai,halafu nimekujua we unajifanya huna timu kumbe upo humu,bwahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Watu mna vijembe humu ndani. Khaa!!!
Please stop ruining Man Utd fans here as Petr Cech ruined one on Twitter.
u made me laugh.....nilikuwa na majonzi sana na timu yangu.....tusubiri saturday tuone Di Maria atatuongezea nini!!!!
Miaka yangu 28 ya kuwa Manchester united die hard fan sasa nimekuwa tested ushabiki wangu, mpaka hapa sijiliwe what is really going on mbona tulicheza vizuri pre-season mbona hilo shimo kubwa between mabeki wa nyuma na viungo lilikua halionekani kama sasa, we are very exposed sana tunapopoteza mpira, we are very predictable the way tunavyocheza, kweli wachezaji wengi ni kiwango kidogo lakini sitaki kuamini na sitakaa kuamini ni kwa level hii ya humiliation.
Jamani nisaidieni what is really going on...timu yangu inashida gani..I am shocked WTF:angry:

Degea
/ rojo:evance:rafael/
/herer:jones/
/di maria:mata:januzaj /
/rooney:van pers/
3:5:2 bado can work tuipe muda timu na majeruhi wawe poa... timu itakua poa tuu
Belo kafufukaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaUnafanya nini sasa hapa kwenye thread ya kipuuzi,na wewe ni mpuuzi