Mpira umebadilika sana ndugu yangu kwa sasa vitimu vidogo ule uoga wao wa kucheza na man u umepungua sana by the way lets be honest to ourself ho w the hell do you expect to be cup finalist au tittle contender kwa viwango vya akina anderson na evans??
Moyes ndiyo aliiondoa fear factor ya Man U**!
Hata vitimu vidogo sasa vina hope kupata point hata OT.
Demba Ba atakuponesha machungu lkn vumilia kwa masaa tu
Mpira umebadilika sana ndugu yangu kwa sasa vitimu vidogo ule uoga wao wa kucheza na man u umepungua sana by the way lets be honest to ourself ho w the hell do you expect to be cup finalist au tittle contender kwa viwango vya akina anderson na evans??
We nawe kinachokuchekesha kitu gani?? Baada ya kutuonea huruma. Ngombe wa bwanakheri,shamba la bwanakheri na wanakula mahnd ya bw kher tuacheni na man u yetu!
THEY LIED TO HIM...
LOOK AT HIM NOW....
Kwa kweli nimeamua kutowacheka badala yake ninawapa support ya kisoka. Wapenzi wa Manchester United mnatakiwa kupiga nyoyo zenu konde ndo soka lilivyo . Endeleeni kuisapoti timu yenu kama wengine tunavyozisapoti timu zetu hata kama hazibebi makombe . Nina imani LVG atawarudisha juu kama atapewa muda unaotosha. Kutolewa ktk Capital One Cup kutawapa muda wa kuconcentrate ktk ligi ambayo msimu bado ni mchanga.
Yani inashangaza sana timu haina mabeki wa katikati hata mtoto mdogo anajua kabisa hakuna central defender lakini no action taken zaidi ya kusikia tetesi za kina vidal ambao hawawezi kuziba hilo pengo. Kiungo mkabaji napo hakuna kitu wakati wapo ambao wana uwezo wa kuziba hilo pengo wengi tu tena wanaweza kupatikana kwa bei ya kawaida kama Mamadou Diame, Blind yupo tayari kabisa kuondoka ajax lakini hadi leo no bid iliyopelekwa. Kama vp asajili mabeki wa katikati then Phil Johns awe kiungo mkabaji kutakuwa na nafuu
THEY LIED TO HIM...
LOOK AT HIM NOW....
Man U ipo ktk harakati za kubadilisha mfumo kutoka 4:4:2 au4:4:1:1 kwenda 3:5;2 au3:2:3:2 au 3:3:2:2 hii itamsaidia kocha kufundisha kitu kipya na kuweza kuona mabadiliko yawe mazur au mabaya tofauti na moyes alikua anapita mule mule kwa babu geff. Kila siku LVG anaomba united fans wawe wa vumilivu na sure timu itakua sawa japo si kwa haraka kama tunavotaka..ndio lvg ameanza vibaya zaid ya moyes y!?? Sababu ana introduce new strategies
GGM