==> UKWELI KUHUSU DIMARIA MPAKA SASA HUU HAPA ==>
#DIMARIA baada ya kocha wake ANCELOTI kuweka wazi kuwa Kijana wa ARGENTINA ametuma maombi ya kuondoka msimu huu kwa sasa amepewa siku zilizobaki atafute timu
atakayoenda.
#UNAKUMBUKA KUWA SUPER CUP DIMARIA HAKUCHEZA kwa kuwa endapo angecheza ingekuwa popote atakapoenda asingeweza kucheza CHAMPION LEAGUE kwa mujibu wa taratibu za michuano hiyo ndio DIMARIA NA KHEDIRA hawakupangwa kwa kuwa walijulikana toka mwanzo nini wanataka wakati MADRID
hawataweza kuwatimizia.
#MKE WA DIMARIA amechukizwa jinsi mume wake alivyotendewa na REAL MADRID ikiwa ina maana hawauthamini mchango wake. Siku tatu zilizopita MKE WA DIMARIA alimponda kocha wa REAL MADRID kupitia mtandao wa kijamii wa INSTRAGRAM. Mbali na hayo MKE WA DIMARIA jana USIKU WA IJUMAA amekuwa akitumiwa picha ya mumewake na mashabiki wa MANUTD akiwa MUMEWE amevaa jezi za manutd na alichofanya ni kuzi like zote picha ya DIMARIA akiwa na jezi ya MANUTD.
#DIMARIA kutokucheza kwake jana katika mechi ya REALMADRID na ATLETICO ilitoa picha kuwa
wakati wa DIMARIA kuwepo REAL MADRID umekwisha baada ya kuambiwa hatakuwepo.
#CRISTIANO RONALDO baada ya kufanya jitahada zake zote kumbakisha DIMARIA kushindikana amemwambia DIMARIA kuwa kama
anaondoka klabu ya kujiunga ni MANUTD pekee.
#CRISTIANO RONALDO anakila sababu kumshauri DIMARIA kuchagua MANUTD kwakuwa anajua mazingira ya MANUTD na ndo
pata mfanya kuwa mwanasoka bora zaidi.
#MCHAMBUZI MMOJA toka spain anaitwa BALAGUE ambaye ni maarufu na ana mahusiano ya ukaribu na klabu zote za SPAIN amesema DI MARIA amechagua MANUTD na wiki ijayo wataanza kikao cha kumalizia kukamilisha
uhamisho wake wa kwenda MANUTD.
#JORGE MENDEZ ni wakala wa DIMARIA ambaye ni wakala wa wachezaji wengi wa kubwa
kama CRISTIANO RONALDO.Huyu wakala ndiye wakala mwenye mahusiano mazuri na MANUTD linapokuja swala la usajili na SIR ALEX FERGUSON katika kitabu chake alichokitoa mwaka huu amesifu wakala huyu kuwa ndiye
wakala bora aliyewahi kufanya naye kazi.
#IKUMBUKWE kabla ya JAMES RODRIGUEZ ajaenda REAL MADRID wakala huyu alisema kuwa yupo katika mipango ya kumpeleka JAMES RODRIGUEZ pale REALMADRID huku DIMARIA
ampeleke MANUTD kinatokea sasa kama mambo yakienda vizuri.
#KWASASA inaminika kuwa SKYPORTS wamemuuliza yule mchambuzi wa Spain BALLAGUE ndo amewaambia kuwa mambo
yamekamilika huenda wiki ijayo DIMARIA akawa mchezaji wa MANUTD na DIMARIA mwenyewe
kachagua kwenda MANUTD.
==>
#NI HAYO 2 WADAU WA MANUTD
©Seja Scholes
Sent from my iPhone using JamiiForums