Tena naviguuu vya Mbu unataka wavunje zieneee damu Humu?
Kwani filimbi ya mwisho imepulizwa dakika ya ngapi Chifu?...Si dakika ya 90 + 6:32??...Na dakika za nyongeza zilikuwa 4...
Tulipata wageni wengi tulipofungwa,naona wameshakimbia
Bado nitaendelea kusema kama nilivyosema msimu uliyopita. Kocha nae anachangia kwa kiasi kikubwa kushinda au kufungwa kwa timu.
Katika mechi ya keo LvG kawapanga baadhi ya wachezaji in their wrong positions ili kucheza system yake only kukuta it was a wrong move kabla ya kubadilisha formation.
Kweli baadhi ya wachezaji ni mzigo, hata Scholes kasemea hilo, but system ya LVG imechangia kwa kiasi kikubwa kufungwa leo.
Well, tuone kama atatumia tena system ya kudefend na mabeki watatu in the Premiership. Nilimshangaa sana.
#Banter mbaya wageni tumeambiwa tusikimbie ila mpaka sasa wenyeji hatuwaoni ukumbini na njaa huku inauma jamani! Tehtehteh wengine Tusubiri kesho lol!Msikimbie wageni
Giggs: Hey old man... things are not looking good today...ooh my god we are loosing....
Luis Van Gaal : Calm down Little man, I want to proceed where Moyes were heading......!!!!!
Bado nitaendelea kusema kama nilivyosema msimu uliyopita. Kocha nae anachangia kwa kiasi kikubwa kushinda au kufungwa kwa timu.
Katika mechi ya keo LvG kawapanga baadhi ya wachezaji in their wrong positions ili kucheza system yake only kukuta it was a wrong move kabla ya kubadilisha formation.
Kweli baadhi ya wachezaji ni mzigo, hata Scholes kasemea hilo, but system ya LVG imechangia kwa kiasi kikubwa kufungwa leo.
Well, tuone kama atatumia tena system ya kudefend na mabeki watatu in the Premiership. Nilimshangaa sana.
Wachezaji mizigo wengi...LvG akifanya mzaha wa kuchekacheka na Woodward, hakika ataharibu CV yake na aina ya wachezaji waliopo...
Watu waliniponda kumtetea DM mwaka jana...ila pengine sasa nyuso zimewashuka...nilisema kwamba hata SAF atastruggle na wachezaji waliopo..

Mdudu Nzi hebu njoo huku utoe update za hii game at least for the first 45 mins, nipo mtaani mpaka half time ndio nitakuwa maskani. Hakuna reporter mzuri hapa JF wa kandanda kila dakika kama wewe brother, at least utaniwezesha kujua yanayojiri katika mchezo wenu wa kufungua msimu.
Arifu, mwenyewe sijaona kipindi cha kwanza cha mechi...nimeona zaidi kipindi cha pili...hivyo siwezi kukupa updates...