Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man Utd wamefulia aisee,wanasikitisha mpaka basi..Naona wanashikika sasa
 
Hawa marefa nao,sijui hizi dakika 5 za nyongeza za nini sasa...aaaaaaaargh
 
Man Utd wamefuliaaaa.Nice game by Man City,they deserved to win
 
Hawa marefa nao,sijui hizi dakika 5 za nyongeza za nini sasa...aaaaaaaargh


Kwani hufahamuu muda wote huu. Ni timu mbili tu zenye uhalali wa kupata penalty za bure bure na dakika 5 hadi 10 za nyongeza kama hazijashinda yaani Chelsick na Manure. Inabidi uzoee tu kwa sababu hiyo ni kitu ya kawaida sana tu.
 


Khe khe khe khe khe majuto mjukuu.


CARLOS TEVEZ showed Alex Ferguson what he's missing by firing two goals to hand Manchester City a vital Carling Cup advantage.
 
Mtajuta kumuuza - sasa kamwonyesha fag kwamba yeye ni kifaa

kombe tunalichukua mapemaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…