Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Matokeo ya pre season ni matokeo tuliyokuwa tunayahitaji kuliko timu nyingine. Tulikuwa na msimu mbovu na wachezaji na washabiki walishakata tamaa na team yao walibaki kuforce usajili ikiwa angalau ndo ingekuwa ahueni yao.

Ingawa hata United ingefungwa na Liver au hata Madrid pia lengo la pre season bado lingetimia kwa kocha kuijua team ambayo aliambiwa ilimaliza nafasi ya 7.

Madrid wamepoteza gemu zao zote tatu za ICC League lakini huwezi sema hawatofanya vizuri au United kushinda gemu zote huwezi sema ndo watafanya vizuri kwenye Ligi HAPANA, pre season ni kipindi cha kupima kikosi kabla ya ligi kuna watakaofungwa gemu zote still wakaenda kwenye ligi na kufanya vizuri.

United pre-season hii imekuwa nzuri kwa kuwa kila mchezaji alitaka kuonesha ana kitu gani mbele ya LVG ndo mana wamecheza kwa kujituma na kufuata mfumo mpya wa LVG....!! United imenufaika na pre season kwa kuwa
MORALE imepanda na CONFIDENCE imerudina team iko tayari na Msimu unaoanza wiki mbili zijazo.

United imepata mtu ambaye wachezaji wanaamini wakiwa chini yake na kufuata FALSAFA zake basi watapata cha kushangilia mwisho wa msimu. United imepata muhamasishaji, baada ya gemu ya madrid kama mnakumbuka alisema gemu ya liver ndo itakuwa ya kuwapima wachezaji watakaobaki, hii imewajenga wachezaji kujituma gemu ya liver na kushinda...pia baada ya gemu ya liver LVG kawaambia japo wameshinda lakini gemu ya muhimu ni dhidi ya SWANSEA CITY, unaona anachofanya ni kumjenga mchezaji kujipanga na mechi inayofuata kitu ambacho chini ya MOYES hakikuwepo.

ANGALIZO!!
1.United Inahitaji sura mpya kadhaa kabla ya dirisha la usajili kufungwa wachezaji wenye uzoefu ambao tayari wameshapikwa huko watokapo (WORLD CLASS),huu ushindi wa pre season usiwape vichwa EPL ina mechi 38 na
zote wanatakiwa wawe fiti.

2.Makocha wa timu pinzani nao waanze kuangalia wakikutana na LVG watamfungaje mana hakuna asiyejua kuwa LVG ni bingwa wa MBINU..!

HATA KAMA UNA CHUKI DEBE lazima kocha wa timu yako muda huu anawaza kumzuia LVG atakapokutana naye na wewe shabiki wa timu pinzani moyoni mwako ushaanza kuingiwa hofu na UJIO wa united japo huwezi kuandika humu,UTABAKI kuponda na kuombea mabaya kwa kuwa hutaki timu iliyokuzidi MATAJI kurudi JUU!!!

Glory Glory Man United.
 
First was Vidic and Giggs, then Rio and Evra now Howard Webb has announced leaving Old Trafford. This makes five important players leaving the Manchester United in one season. Who's next?

ARSENE WENGER......HE IS A VERY GOOD MOTIVATOR FOR OUR [20] TITLE WINNiNG TEAMS!!!!
 
Reactions: Nzi
ha ha ha ha! let them continue hate, it deserves them!
 
First was Vidic and Giggs, then Rio and Evra now Howard Webb has announced leaving Old Trafford. This makes five important players leaving the Manchester United in one season. Who's next?

hahahahaha!..... Nzi, Belo, et al mnahusika na msiba huu hapa!
 
Last edited by a moderator:
ARSENE WENGER......HE IS A VERY GOOD MOTIVATOR FOR OUR [20] TITLE WINNiNG TEAMS!!!!
Naona Prondo ananung'unika na kuhudhunika kuondoka kwa supa staa wao. Sijui mwaka huu nani atawabeba Old Trafford?
 
Naona Prondo ananung'unika na kuhudhunika kuondoka kwa supa staa wao. Sijui mwaka huu nani atawabeba Old Trafford?

Tumewafunga goli 6 then 8 refa hakuwa Webb,tumechukua champions league 1999,2008 bila ya Webb.Nilishawaambia Wenger ni agent wa Manchester usishangae Ozil au Sanchez anatua United 2017
 
Naona Prondo ananung'unika na kuhudhunika kuondoka kwa supa staa wao. Sijui mwaka huu nani atawabeba Old Trafford?

What a lame viewpoint!!

United has been winning trophies even before Webb was born!
 
First was Vidic and Giggs, then Rio and Evra now Howard Webb has announced leaving Old Trafford. This makes five important players leaving the Manchester United in one season. Who's next?

teh teh teh teh teh teh I think it will be Mark Dean.
Teh teh teh teh teh!
 
Tumewafunga goli 6 then 8 refa hakuwa Webb,tumechukua champions league 1999,2008 bila ya Webb.Nilishawaambia Wenger ni agent wa Manchester usishangae Ozil au Sanchez anatua United 2017

Mechi ya 8-1 refa alikuwa Webb ila ndio huyo aliwapa Arsenal penati ya Utata ambayo Van Persie alikosa, wakati huo matokea yalikuwa Man Utd 1 Arsenal 0, kama utaipata hiyo mechi na kuiangalia vizuri utaona Webb alivyokuwa anawebaba Arsenal kinoma......Nawakilisha
 
Reactions: Nzi
Naona Prondo ananung'unika na kuhudhunika kuondoka kwa supa staa wao. Sijui mwaka huu nani atawabeba Old Trafford?

Kwa miaka 10 iliopita. Wewe kama shabiki wa arsenal unajivunia nin???
 
Reactions: Nzi
Tumewafunga goli 6 then 8 refa hakuwa Webb,tumechukua champions league 1999,2008 bila ya Webb.Nilishawaambia Wenger ni agent wa Manchester usishangae Ozil au Sanchez anatua United 2017

Naona mna hamaki ukweli unauma sio? Afu wapenzi wa UTd mna selective memory, msing'ang'anie mechi vs Arsenal mnasahau alivyowabeba mechi kibao vs timu nyingine hasa Old Trafford hadi watangazaji wapenzi wa UTD wanakosa sababu za kumtetea Webb. Mfano, Man Utd vs Tottenham Old trafford 2009 ,UTD wapo nyuma magoli 2 kwa bila Webb aliwapa UTD penati ya mauzauza, baada ya mechi hiyo Webb akatupwa kusimamia ligi ya championship. Mechi nyingine vs Liverpool hadi Ryan Babel akaphotoshop Webb akiwa ndani ya jezi ya United baada ya Webb kuwapa penati nyingine ya ajabu ajabu pia kumpa red card Steven G. Kuna mechi kibao Webb alivurunda kwa favor ya United ukilinganisha na alizowauma. Wapenzi wengine wa United wanalalamika kuwa miaka miwili iliyopita Webb kasahau ameajiliwa na nani hatoi penati Old trafford kama anavyotakiwa kutoa.LOL
 
Kwa hiyo Webb ndio amesababisha nyie muwe wasindikizaji kwa 10 season? Mbona Chelsea,ManCity wamechukua ubingwa Webb akiwepo
Ubingwa wa 20 tulipewa na Wenger baada ya kutupa RVP,Man City walipewa Nasri,Clichy wakachukua ubingwa.Wenger ni agent wetu mkubwa
 
Mexhi zote za Arsenal webb alikuwa refa ?.

Subirini muone mtasindikiza miaka mingapi... Tumeshabeba Kombe sasa hivi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…