The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
Mshambuliaji si mmemnunua Lambert, au hafai? kama vp mrudisheni Caroll
Kwani Gerald alipofunga penalty hamkufurahi?
Fletcher alificha mido za liverpool lol, nitakuwa mtovu wa adabu kama nikimzungumzia Herrera alichokuwa anafanya leo
Hizi mbwembwe zenu za kinazi ndo huwa zinawakosti! Hongereni anyway,mmeshinda mechi dhidi ya timu bora ndo mana mnabweka sana,lol!
Hizi mbwembwe zenu za kinazi ndo huwa zinawakosti! Hongereni anyway,mmeshinda mechi dhidi ya timu bora ndo mana mnabweka sana,lol!
Timu imemaliza mechi zake za pre season bila ya kufungwa, watu wakisema inakuwa ni mbwembwe?
Mwenzako analalamika hamna wafungaji
acha wivu kwan mlivyoongoza gli hukufurahi?
Well Done Boys.... Kombe la kwanza hilo
"Katimu" ka Uingereza tumekafunga
Timu imemaliza mechi zake za pre season bila ya kufungwa, watu wakisema inakuwa ni mbwembwe?
Mwenzako analalamika hamna wafungaji
LOL mnalihesabu hili nalo... mlikuwa mnacheka Arsenal kubeba Emirates leo mnashangilia kombe la kirafiki.Hahahaha ama kweli dunia ina mambo.
Mkuu kumbe hata kwenye mashindano ya kirafiki timu zinataka kumpiga refa?
Tatizo la hiyo timu inayochukuaga kombe la Emirates "wanalochezeaga Home", kombe hilo ndio linalokuwa mwokozi
Sisi tumesema la kwanza hilo, umeona tofauti hapo?
kiboko cha big four -the bluees, nyie wote(Man, liver, aser,city) mtaendelea wateja wetu mpaka mourinho atakapoondoka.
LOL hakuna aliyetaka kumdunda refa jana... watu walipoint out refa kakosea tu. Afu hilo kombe la Emirates hatujalibeba mwaka wa 4 huu, hatulipi msisitizo ni la kuwapa watoto nafasi ya kucheza maana muda si mrefu wanakwenda on loan. Vile vile kumbuka ni kombe linalogombaniwa ndani ya siku 2 au 3 sio kama hili mlilolitolea jasho toka West coast to Mid-west to Down south. Itakuwa kina Rooney hawalali usiku bila mawazo kwamba watapewa namba na mbabe wa kiHollanzi.
Kombe la Emirates kusema ukweli hata Crystal Palace wanaweza kuchukua, usifananishe na mashindano yaliokuwa yanashirikisha Timu Kubwa, ambayo Bingwa kapatikana leo
Watu tushabeba kifungua msimu sie