Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hiki.ni kipimo kizuri sana ktk hii Pre seasonal...
Two team from Italy
One team from spain
One team from UK
and Now Kateam from England...
Tungepata team pia from german kama BUYERN ingekuwaaaa poa sanaa.....

GGMU
 
Reactions: Nzi
Hata season iliyoisha 2013/14 MBONA MLIKUWA MABINGWA!AU MMESAHAU LILE TANGAZO LENU?...... Bingwa,MAN U BINGWA.
 

Siku zote mpira hauchezwi kinywani ingawa kuna "mind games" kitu nilichojifunza kwenu mashabiki wa Manutd mnajua sana kuongea kama wanasiasa wa bongo! Ndiyo maana unaona hata soka letu halipigi hatua kutokana na hizi porojo kwenye media kuisifia timu yetu ya tiafa na vilabu! Manutd mnasafari ndefu bado ingawa mnakocha mwenye kujua anafanya nini. Kuna Mtu anaitwa Jose Mourinho pale darajani!

 
Hiki.ni kipimo kizuri sana ktk hii Pre seasonal...
Two team from Italy
One team from spain
One team from UK
and Now Kateam from England...
Tungepata team pia from german kama BUYERN ingekuwaaaa poa sanaa.....

GGMU

Ndoto kama hizi ndo ziliwafanya muwe saba saba. Yaani chama langu Liverpoolfc ndo ka team ka England. Hivi kwenye msimu uliopita mliwafunga ngapi?
 
So far LVG inaonekana ameshapata kikosi chake cha kwanza,kwa system ya 3-5-2/3-4-1-2
Nyuma watacheza mabeki watatu ambao ni Evans,Jones na Smalling(Keane)
Valencia atacheza right wing back (Rafael)&Young atacheza left wing back( Shaw) na viungo ni Herera & Fletcher( Cleverley,Carick).Mata(Kagawa/Januzaj) atacheza kiungo mshambuliaji nyuma ya Rooney na RVP( Wellbeck,Chicharito).Ujio wa kocha umefufua viwango vya wachezaji kama Young,Fletcher na Cleverley.Naamini msimu huu Herera,Fletcher,Mata watakuwa wachezaji muhimu sana kwenye timu

Still tunahitaji CB ambaye anatumia mguu wa kushoto(Vermalen), ambae pia atakuwa anamsaidia Shaw. Evans,Jones,Smalling ni injury prone,Pia tunahitaji kiungo mkabaji Carick ameumia na Fletcher sio wa kucheza dakika 90 (back up amebaki kimeo Cleverley),Bado Anderson na Nani wanapaswa kuuzwa
 

Benfica watakuwa wameisha sana mpaka Sanogo anafunga goli, achilia magoli

Hata Bendtner angefunga siku hiyo inaonyesha

LOL unamcheka Sanogo leo kesho mtakuwa mtajuta kwa nini hamna scouts wakali kama alionao Wenger. Kiunazi zaidi Sanogo atavunja rekodi ya magoli ya Welbeck. Hahahaha
 
LOL unamcheka Sanogo leo kesho mtakuwa mtajuta kwa nini hamna scouts wakali kama alionao Wenger. Kiunazi zaidi Sanogo atavunja rekodi ya magoli ya Welbeck. Hahahaha

Hao mliowapiga 5-1 leo wamekoswa koswa kama saba hivi hatimae wakaponea na hizo 3-1 kwa Valencia... Arsenal leo naona mmeshaumia na mpira sekunde chache zijazo unaisha...
Ni Mechi moja tuu unaongea hivyo??? duuh
 
Mlipomfunga Benfica, hamkuwa mmekwenda uwajani kutembea kama siku ile mlipofungwa na NY Red Bulls? {Kama ulivyosema mwenyewe}

cc Nzi RRONDO

Hao mliowapiga 5-1 leo wamekoswa koswa kama saba hivi hatimae wakaponea na hizo 3-1 kwa Valencia... Arsenal leo naona mmeshaumia na mpira sekunde chache zijazo unaisha...
Ni Mechi moja tuu unaongea hivyo??? duuh

Leo Sanogo hajacheza. Ulitegemea nini?
 

ok, tunasafar ndefu,, Chelsea 0-3 Werder Bremen,, Man utd 3-1 madrid, yupi mwenye safar ndefu hapo
 
Ukiona hivyo ujue wana frustrations ndo maana kocha wao anakamia hata mechi za kirafiki hakuna wholesale substitution kama timu zingine....

Tumemfunga La Galaxy kwa kutumia vkos viwil, Inter viwili, Roma Viwil, nakua sikuelw
 

Kweli yupo darajani ila leo kashindwa kuvuka au ndo utasema kazi ya daraja kuvusha??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…