Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,439
Game inaanza saa ngapi hii kwa saa za hapa umatumbini?
Nisaidieni wakuu hii mechi inaonyeshwa channel gani?nimetafuta Dstv sioni
Game inaanza saa ngapi hii kwa saa za hapa umatumbini?
Nisaidieni wakuu hii mechi inaonyeshwa channel gani?nimetafuta Dstv sioni
Msaada tafadhali hata mimi hapa nimeangaika chaneli zote bila mafanikio ila kuna game ya olympiacos na man city live hapa kwenye chanel ya kiarabu moja.
Star sports 2 wanaonyesha
Duh!! Nshaikosa tayari hii game.
Star sports 2 wanaonyesha