..............#Jambooooo wazee wa.....View attachment 172974
Mbona kelele miiiiiiiiingi humu?
Pre- season tu mshaanza kujitangaza ubingwa?
Halafu Nzi na Belo mmefanya #Usajili wa wapiga domo wapya humu au ni nini?!
Waambieni wasijewakimbia tu #JotoLaJiwe likianza..,,,wakawaachia nyie vikongwe wa #7Up !
Anyway, hongereni basi kwa ushindi wa bao saba jana, namba #Ishawazoea kwakweli
View attachment 172976
..... Wacha, mie na wazee wenzangu kina BAK, Balantanda, Wandugu Masanja, piere.fm Sizinga, rubaman et al tuvute/tusogeze viti sasa tukae....
Wazee wa kupaki #Bus jana almanusra #GoloAingieJamatini daaaaadeki!.... Mentor, Ntuzu,.... Yaani hata pre-season mnapaki #Bus ?
......#Khekkhhhekkheeeehhh ....
#MosKwito !