Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wamepewa dakika 6 wapate goli lingine la kubebwabebwa. Khe khe khe.
 
Congratulation Mancs for two points lost, plus red card.
 
dakika ngapi za nyongeza mnataka leo?....10 zitawatosha?

Matokeo haya ya leo yatakuwa faraja kwetu endapo tu tutashinda game ijayo! Ni mazuri kweli na mabaya kwa hawa ndugu zetu.Poleni wakuu wote wa hapa.
 
Game over Birm' 1 Man Utd 1..Ligi ya mwaka huu ya ajabu kweli kweli
 
Hawabebeki, goli wamepewa fergies extra time wamepewa lakini wapi?

tehe tehe hizo extra time zilikuwa za kutuua siyo kutusaidia. Goli hatujapewa mbona unakosa adabu wewe, tuliponyimwa penati first half mbona hukusema? Arsenal mnamatatizo sana.
 
Matokeo haya ya leo yatakuwa faraja kwetu endapo tu tutashinda game ijayo! Ni mazuri kweli na mabaya kwa hawa ndugu zetu.Poleni wakuu wote wa hapa.

Ni kweli mkuu, we'll have to take our chance if we wanna stay at top....ligi inakuwa tight sasa.
 
Advantage kwenu mshukuruni Muumba kwa kushusha hii kitu na kuahirishwa mechi yenu, lakini nachelea kusema sifikirii kama mtaweza kuitumia hii nafasi, mumekuwa munamtegemea mno Drogba na Anelka, sasa Drogba hayupo na bila ya Essien japo hili halionekani mumekua na mwendo wa kusuasua.
 
Hilo siyo tatizo mbona tulishinda game ya FA bila wao kuwepo na kwa goli nyingi sana kama tano vile.Ila nakubaliana pia na wewe kuwakosa hao jamaa kwetu ni pengo ingawa tunaweza kuziba kiasi na nina imani tutaendelea kushinda maana kuna vijana wanatafuta namba pale lazima wataonesha uwezo tu.
 
Ligi kuu this season kichomiiii kichomiiiii, najua twaweza kutetea ubungwa ila sipendi tuigeuze ligi yetu ka' ya Scotland (Celtic) au Lyon kule Ligue One, ila mkianza tu kutusemea mbovu, we will haunt you guys!
 
Hizo ni dalili kwamba umehisi itakuwa ngumu kwenu kutetea ubingwa ndio maana unaanza kuja na visingizio....be brave, ligi bado mbichi😱.
 
Kwi kwi kwi kwikwikwi kwi kwi kwi kwikwikwi. Usilie mkuu Unaona Liverfools hawajachukua hiki kikombe sijui toka mwaka gani. Hata watoto wameanza kupata wajukuu.
 
Kwi kwi kwi kwikwikwi kwi kwi kwi kwikwikwi. Usilie mkuu Unaona Liverfools hawajachukua hiki kikombe sijui toka mwaka gani. Hata watoto wameanza kupata wajukuu.

Umeanza........
 
Huyu jamaa alipoamua kuvaa chupi hadharani bado ana usongo na Fergi.
 
Waungwana tuna hali ngumu..
 
Mwaka huu mtashikika tu. Je mnaweza kubadili kichwa cha habari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…