Lazima ukubali kuwa siku hizi mpira bila pesa utakuwa msindikizaji na,hapo ndio tofauti ya timu kubwa na ndogo Newcastle ni ngumu sana kununua wachezaji wa 20 mil na ndio maana ni ngumu kwao kupigania ubingwa,sioni tatizo kwa timu kama Manu kumnunua Shaw mwenye miaka 18 kwa hiyo bei,dogo anaweza kucheza miaka 15
Hapo ndo nilikuwa napataka!!
i think nimeshaandika hapo juu kuhusu suala la Caroll kununuliwa £35million kipindi kile, na nikasema liverpool walikuwa so desperate kama Manure mlivyo sasa!
tukubaliane kuwa kutoa £27mill kwa Mchezaji average aina ya Luke Shaw ni kupagawa, Ni kama liverpool walivyotoa £35million kwa Caroll, kule kulikuwa ni kupagawa kaka!
Ujue Mkuu Belo, kama upo kwenye hizi ishu za mpira, utakubaliana na mimi kuwa Rumours za magazet huwa zinadanganya sana, mpaka imefikia kipindi Watu wanasubiria kuona Skysports wanasema nn!!..So sidhani kama Chelshit walikuwa na STRONG interest yoyote kwa luke shaw achilia mbali kupeleka Inquiry kuhusu huyo mchezaji, Katika Clubs ambazo huwa hazihestate zikimtaka mchezaji basi ni Chelshit, hilo wote tunalijua!!!..na mourinho asingekubal kutoa £27million kwa aina ya mchezaji kama Luke Shaw!!!
Na kwahyo hata kama Man city au Chelsea wanahela, wangeenda kuspend £27million kwa Fellain kama mlivyofanya???
Afu pia unatakiwa kujua tricks za Maagent ambazao huwa wanazicheza, mfano ni lile suala la Ronaldo kurudi Manure, Au ishu ya Januzaj baada ya kuchomoza tukaanza kusikia anatakiwa na Barca, Juventus, Bayern and blah blah blah, nadhan mkampa mkataba ambao unamfanya kuwa mchezaj mdg anaelipwa hela nying zaid, Sidhan kama kina messi, aguero, ronaldo, Wilshere, walcot, pedro na wengneo walilipwa kama anavyolipwa sahv januzaj..hizo ni tricks za Agents, na hasa alishajua kuwa mlivyokuwa mmepagawa msingeweza kumuachia bwana mdogo!!!
Manure, Sahiv mtapigwa sana Sokoni!
Tatizo Belo, mmemtumia HELA nyingi kwa mchezaji wa kiwango cha kati!!!
vipi kuhusu fellaini aliyenuniwa pound m 27 na sio muingereza?
Kwanza niambie kwa kigezo gani unasema Shaw ni average?
Hata kama ni average kwa umri wake naamini atakuja kuwa mchezaji mzuri
Issue ya Januzaj Manu walikuwa sawa kumpa mkataba baada ya kufanya mistake kwa Pogba huko nyuma nafikiri unajua thamani yake now si chini ya 40 mil pound
Man City wamevunja sheria ya FFP so usitegemee kama watamwaga pesa ovyo kama walivyofanya huko nyuma,pamoja na kuwa na Aguero na Dzeko still waliwanunua Jovetic na Negredo na wamewasaidia kubeba ubingwa.Chelsea nao lazima wauze ndio wanunue ndio maana kuna posibility kuwauza Luiz,Mikel,Tores,Ba,Lukaku ndio wanunue
Enzi za kina Messi,Ronaldo zilikuwa tofauti na sasa ndio maana Madrid na Barca wamehakikisha wanawaongezea mikataba na mishahara almost kila baada ya misimu 2 ili wasiondoke
Hivi unataka hizi hela zinazoingizwa na klabu zote ziende kwa shareholders?
Hayahaya yalisemwa walivyonunuliwa Rio Carick,de Gea,RVP ,Mata.Then kwa financial status ya United hiyo hela sio nyingi labda Arsenal,Chelsea au Liverpool ndio hela nyingi
sure mku alimnunua kwa kupanick baada ya kuona hana uwezekano wa kumnunua mchezaji mwingine.Jamaa alikuwa panic buy.
Moyes wanted to win our hearts and mind
Rio Ferdinand's Manchester United career is over after the veteran defender was informed that he will not be offered a new contract.
It is understood that Old Trafford chief Ed Woodward broke the news to Ferdinand, 35, in the dressing-room following Sunday's final game at Southampton. Several people were present at the time and expressed surprise that Woodward chose to bring down the curtain on Ferdinand's 12-year stay at United in such a manner.
klabu za mpira zimeingia wazimu,na hfu ya kumkosa mchezaji hupelekea gharama ya kumnunua kuwa kubwa,ila mimi naamkni duniani hamna mchezaji mwenye thamani ya pound m 50 mwisho kabisa 40 m,huo nimmtizamoa wangu ilakwa hali ilivyo pressure ya kumkosa mchezaji,uhitajia wa huduma husikaya mchezaji,uhuni wa agent wa mchezaji na hata kutokuwa tayari kwa klabu husika kumuuza mchezaji hupelekea thamni kupanda ndo maana vilabu vinakuwa tayari kulipa gharma yoyoteBelo, Unatetea kwasababu we ni shabiki wa Manure!
Hicho kiasi kingetolewa na Team nyingne Kama Arsenal, Liverpool, chelsea, mngekuwa wa kwanza hapa kupiga makelele kuwa hizo team zimeOverspend, lakini kwa kuwa ni Manure hamtaki kukubaliana na huo ukweli kuwa £27mill ni nyingi kwa Luke shaw!!
Afu kwa sheria ya Fair play katika usajili, nadhani kila team itauza wachezaji wake kiasi, ili kununua wengine!!!
klabu za mpira zimeingia wazimu,na hfu ya kumkosa mchezaji hupelekea gharama ya kumnunua kuwa kubwa,ila mimi naamkni duniani hamna mchezaji mwenye thamani ya pound m 50 mwisho kabisa 40 m,huo nimmtizamoa wangu ilakwa hali ilivyo pressure ya kumkosa mchezaji,uhitajia wa huduma husikaya mchezaji,uhuni wa agent wa mchezaji na hata kutokuwa tayari kwa klabu husika kumuuza mchezaji hupelekea thamni kupanda ndo maana vilabu vinakuwa tayari kulipa gharma yoyote
hiyo hela ambayo mchezaji anaiingizia klabu ndo investment yenyewe hiyo klabu imewekeza so faida ni halali yao,nilichomaanisha kusema kwenye post yangu ya juu kwamba hizi figure ni nyingi mno hakuna mchezaji ambayo anastahili malipo hayo duniani ya pound m 50 hata kama klabu kuna jezi wanauza n.k just try to think pound m 50 ni zaidi ya bilioni 70 za kitanzania,hivi kweli kuna mtu anafikia thamani hiyo?? kwangu mimi ni big no,though kwa man u kwa walichofanya siwabezi coz ndo soko la usajili linavyotaka.Kuna wachezaji wana value above 50 mil value ya mchezaji inategemea na kipaji,umri,afya na jinsi atakavyoingiza pesa nje ya uwanja CR7,Messi,Neymar ni wachezaji ambao ukiacha uwezo wao uwanjani wanaweza kuingiza mapato makubwa kwa klabu nje ya uwanja.Ni kweli agent wanasababisha bei kupanda but wachezaji wanaziingizia klabu hela nyingi sana hiyo faida lazima irudi kuinvest kwenye timu ili timu iendelee kufanya vizuri(kupata pesa)
Rio,Rooney walinunuliwa € 27 mil,€29 mil miaka 10 na 12 iliyopita so nashangaa now € 27m kwa beki wa miaka 18 inaonekana nyingi
sure mku alimnunua kwa kupanick baada ya kuona hana uwezekano wa kumnunua mchezaji mwingine.
jitihada haizidi uwezo im verysurehaweziTumuangalie misimu mingine miwili kama atatoa matunda kama thamani ya pesa alonunuliwa
jitihada haizidi uwezo im verysurehawezi