Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nzi hehehe naona unajifurahisha na roho vipi Leo mmeshinda nini game ya Leo naona unajifurahisha.
 
Dah! Haki ya Mungu hii timu inahitaji a complete overhaul..wachezaji wanacheza kama wamekula urojo bana...

inawezekana Moyes sio mbaya kiviile ila jumba bovu limemuangukia??!!!
 
Mbu na rubaman njooni mle maneno yenu...sasa loserfools wasahau kuhusu kombe la EPL...washukuru kwa kuwemo top 4 mwaka huu...waishukuru United kwa kuwa na msimu mbaya kabisa...la sivyo hata top 4 wangeisikia kwenye bomba....

Kwa investment inayotumiwa na City ni aibu sana kubeba makombe mawili ya EPL by goal difference. Hakuna cha kuishukuru United muda wenu wa kuwa juu umeshakwisha.
 
Last edited by a moderator:
Poleni Wakuu!! Kale Ka sunderland kanaendeleza kugawa dozi kwa vigogo!


giggs hajawaokoa Leo?
 
Last edited by a moderator:
rubaman lakini si aibu kwa goons kuwa wasindikizaji kwa muda wa miaka 9 enh? Eti ni aibu kwa Shitty!! Aibu kwa Shitty my foot!! Badala ya kuionea aibu timu yako, unataka kulazimisha aibu kwa timu zingine.... BTW, mimi najionea aibu sana timu yangu kuwa msindikizaji mwaka huu...si kawaida ya timu ninayoipenda... Sasa wewe kama huoni aibu kwa timu yako kuwa inagombania kikombe cha #4thSpot a.k.a #BirthRight ya goons kwa miaka sijui mingapi sasa, basi pole yako. Eti muda wa United umeisha!! Dah! Wakaanga sumu bana....poa see you next soon...hopefully, I won't eat my own words....
 
Last edited by a moderator:

Naona unahama timu kijanja-janja. Ndio ni aibu Investment yote hiyo afu bado inatolewa kamasi na timu ambayo haija-invest hata robo tatu yake. Kwa investment waliyoweka City walitakiwa wawe mabingwa sasa hivi. Hahaha hiyo #4thSpot si ndiyo iliyomfukuzisha kazi kocha wako #GiveMoyesMoreTime au umesahau ulivyokuwa unampigia debe hapa usiku na mchana? Haya angalia hata hiyo pesa ya ngama toka Europa League karibia utaikosa. Eti the Glazers watamwaga 200Mil kuboresha timu mwakani ili mrudi top 4, hilo sahauni timu yenu itabaki kugombania Europa League na kina Spurs. Tayari jua limezama Man Utd mtakuwa kama former drug dealers ambao kila siku wanaimba "Back in my days, back in my days". Hahaha endelea Kuomba hivyo hivyo kuna siku utayala unayoyanena, anyway jinsi navyowajua wapenzi wa Man utd utakuja na wimbo mpya. See you in two weeks.
 
rubaman dream on dreamer.....#ManUnited all the way.....been there, done that...and still will do that....ndiyo nilikuwa nampigia debe DM kwa kuwa tatizo kubwa lipo kwenye wachezaji na siyo management tactics....nilishasema kuwa SAF alikuwa mjanja kustaafu mwaka jana, kwa vile alijua fika kuwa angeendelea legacy yake yote ingesahaulikia...hicho ni kitu ambacho Wenger bado hajastukia, anataka watu wasahau hata ile rekodi yake ya unbeaten 49....na akiendelea mwakani, basi kuna uwezekano wa kuaibika....wewe unaona jua limezima kwa macho yako ya kinazi na pengine wewe umekuwa mtabiri, kama ndivyo, basi sawa....ni heri nibakie kuwa kama drug dealer, nikikumbuka jinsi nilivyokuwa natesa chini ya SAF, uchungu wa hali ya sasa nausahau....
 
Last edited by a moderator:
Angalieni jinsi Moyes alivyokuwa babkubwa kuliko Giggs. Moyes hajawahi kusababisha Fergie alale katika mechi ya Utd. Utadhani Fergie anaangalia Opera broadway theatre.

What a snoring match… Geddit? (Picture: Vine)The cheeky nap was caught by a television camera in the closing stages of the game vs Sunderland. Mtamua babu wa watu kabla ya ligi kuisha. Msiombe Ramsey afunge goli kesho Fergie atakuwa mahututi ICU.
cc Mndengereko, Nzi, DonDonald, belo
 

Yeah nakubali Fergie alikuwa na akili nzuri ya kuacha Legacy nzuri ya kuwa mabingwa watetezi wabovu namba mbili after Blackburn Rovers. Tofauti ya Fergie na Wenger ni kuwa Wenger akiondoka ataiacha Arsenal in good hands si kugombania UCL spot bali hata makombe. Subiri utaona. Wachezaji mlioachiwa na Fergie hata wapigwe msasa na fundi seremala gani mtakuwa midtable.
 
matatizo ya man utd.....
cc: Belo Nzi Mndengereko Mbeky Idimi

[h=1]United's problems[/h] [h=3]Ryan Giggs' second game in interim charge of Manchester United proved there would be no quick-fix at Old Trafford in a first defeat by Sunderland at home in the league since 1968. Peter Fraser uses Opta data to analyse the Premier League match[/h]


Man United have lost seven home games in a single league campaign for the first time since 1973/74

[h=4]LACK OF SPEED[/h]
Giggs disappointed by quality

Manchester United's players covered a shorter distance and made less sprints than Sunderland on the field at Old Trafford on Saturday and this was a factor in their defeat.
Interim boss Ryan Giggs also saw his team spend more time standing still than their visitors and this lack of movement, particularly in midfield, has been a problem all season.
[TABLE="class: arttable"]
[TR]
[TD="class: arttablehdr"]Man United v Sunderland[/TD]
[TD="class: arttablehdr, align: center"]Distance (km)[/TD]
[TD="class: arttablehdr, align: center"]Sprints[/TD]
[TD="class: arttablehdr, align: center"]Time Standing (%)[/TD]
[TD="class: arttablehdr, align: center"]Time Sprinting (%)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Man United[/TD]
[TD="align: center"]107.2[/TD]
[TD="align: center"]326[/TD]
[TD="align: center"]66.6[/TD]
[TD="align: center"]0.44[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sunderland[/TD]
[TD="align: center"]115.6[/TD]
[TD="align: center"]334[/TD]
[TD="align: center"]62.6[/TD]
[TD="align: center"]0.48[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
That central midfielders Michael Carrick and Darren Fletcher then represented United's most frequent passing combination, with the pair playing 30 passes between each other versus Sunderland, also impacted upon United's speed.
The passes were too often square, as demonstrated in the below graphic, and stopped any pace in United's attacks while giving Sunderland time to get back into their defensive formation.
Darren Fletcher and Michael Carrick played too many square passes and stopped United's speed

[h=4]DEFENSIVE PROTECTION[/h]Even with Giggs maintaining his policy of picking United's most experienced central defensive partnership of Rio Ferdinand and Nemanja Vidic, Sunderland picked off their hosts in midfield in front of the back line by scoring with their only shot on target.
This was demonstrated by the manner in which Nani did not keep the ball in the 30th minute for an unmarked Sebastian Larson to score from Connor Wickham's cross on the right. That goal means United have now kept just one clean sheet in six Premier League home games.
Nani did not keep possession (left) as Sunderland scored from their only shot on target (right)

It was also the 12th occasion United had found themselves behind at half-time this season and they have now gone on to lose nine of those games.
The margin of Sunderland's win could also have been greater if Emanuele Giaccherini and Fabio Borini had scored rather than hitting a post and the crossbar, respectively, with second-half shots.
[h=4]NO ROONEY OR RVP[/h] Van Persie: Returned from injury

Wayne Rooney was unavailable for United due to a groin injury while Robin van Persie could only play for the last 24 minutes in his first appearance in eight matches since picking up an injury in the UEFA Champions League second-leg victory over Olympiakos.
The lack of fitness of their two main strikers this season has played a part in United now having lost seven home games in a single campaign in the league for the first time since 1973/74.
United managed just two shots on target from their 17 overall shots against Sunderland and that failure to take their chances has been a factor in their downfall.
[h=4]SUNDERLAND'S GAME PLAN[/h]
O'Shea hails win at Old Trafford

Sunderland are now almost safe from relegation following a run of form which has seen Gus Poyet's squad take 10 points from four games against Manchester City, Chelsea, Cardiff City and United.
That form meant Sunderland had no fear in taking on United and implementing their own game plan, as with many visitors to Old Trafford this season.
Lee Cattermole (No.33 - see below graphic) stayed in his own half and goal side of Juan Mata while centre-backs Wes Brown (No.5) and John O'Shea (No.16) remained deep and picked up United's lone striker, Javier Hernandez.
United could not come up with an answer and resorted to delivering crosses, of which they produced 33 to Sunderland's four, but this did not result in a goal.
Sunderland stayed deep and Lee Cattermole (No.33) marked Juan Mata by staying goal side
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…