Manchester United (Red Devils) | Special Thread


​Kwa timu hiyo mbovu ndo mnategemea Giggs afanye maajabu? Na yeye mtamfukuza tu karibuni kama Moyes.
 
mkifugwa sijui mtafukuza nae...!?

Sasa sio kipindi cha kufukuza, ni kipindi cha kuleta/kuongeza vifaa

Kwa kuanzia na kocha ......... umeshamjua? {Kidokezo: kocha na wachezaji wanaokuja ni World class }
 

Mna bahati Giggs atakuwa kocha kwa mechi 4 tu ama sivyo angethibitisha ile imani ya Wachezaji star hawawi makocha wazuri. Pia angewathibitishia kuwa kosa halikuwa Moyes bali Wachezaji wenu wabovu. Timu yenu ilishafika kikomo cha mafanikio, kuna ule msemo wa anything that goes up must come down nyie ndo mnauthibitisha kipindi hiki. Giggs anatengeneza Resume yake aende kugombania kazi lower leagues na kina Paul Ince,
 
Sasa sio kipindi cha kufukuza, ni kipindi cha kuleta/kuongeza vifaa

Kwa kuanzia na kocha ......... umeshamjua? {Kidokezo: kocha na wachezaji wanaokuja ni World class }

Nakubali mtaleta World Class kama Bebe muda si mrefu
 

Ameongea kitu kizuri sana it make sense to be honest ila kwa upande mwingne nahs hyo role anayoizungumzia imekuwa filled na ed woodward
 
Ameongea kitu kizuri sana it make sense to be honest ila kwa upande mwingne nahs hyo role anayoizungumzia imekuwa filled na ed woodward

Man United haijawahi kuwa na cheo kama hicho jamaa anashauri wakiweke ili kiweze kumsaidia kocha a-concentrate na kufundisha,cheo kinamfaa ex United player ambao Keane,GNeville,Giggs,Bruce,Robson,Scheimichel wanaweza hiyo kazi,Woodward hawezi hiyo kazi.Tatizo ni kwamba kuna baadhi ya makocha hawataki kufanya kazi na hao watu nakumbuka Jose aligombana na Grant Chelsea then akamkataa Valdano na Zidane pale Madrid.
Kuna rumours kuwa Van Gaal nae atakuja na wasaidizi wake kina Kluivert so huenda akawaondoa staff wa Giggs
 
My goodness me...according to the Guardian Sport (UK), Wenger has given his words that he will sign a new contract with Arsenal.

#Kimewaganda

Wenger is the best. In Wenger we may trust. Naona kila mtu anawatolea nje Pep, Ancelotti, Simeone, Klopp, Blanc, Vaagal, Mourinho wote hawataki kuja katika new to be MH370 yenu. Badala ya kufundisha soka, Giggs atawafundisha kuwa wachezaji kuwa ma-playa if catch the drift.
 
Ameongea kitu kizuri sana it make sense to be honest ila kwa upande mwingne nahs hyo role anayoizungumzia imekuwa filled na ed woodward

Kama umeanza kufuatilia soka kwa muda mrefu utakuwa unajua jinsi gani hicho cheo kinavyoleta mushkari katika kila timu zinazokuwa nacho. Makocha/managers wengi wameshaachia ngazi sababu ya kuwepo kwa Director of football. Sababu kubwa ni kuwa power ya makocha inakuwa imelimitiwa hasa linapokuja swala la usajili pia badala ya kocha kuripoti direct kwa chairmen, vice chairmen au owner ataripoti kwa director of football. Juzi juzi Newcastle walimleta Joe Kinnear awe Director of Football akaondoka baada ya kutoelewana na Pardew pia kwa kufanya kazi mbovu. Anyway,Man United wakileta director of Football itazidi kuwa vizuri kwa timu nyingine.
 

Husiwe bias katika nafsi yako....ebu ongelea na upande mwingine, katika timu ambazo director of football ameleta mafanikio sana.

Pia mchambuzi katika makala yake, amegusia hilo suala kwa kupendekeza uwepo wa director of football ambaye anaelewana na manager; director ambaye anajua filosofi ya manager, na nini manager anataka kutoka kwa scouted players and talents.
 

Sure. He is the best in failing.

Cheki sasa, Giggsy anasimamia mechi nne zilizobaki, watu mnaanza kuweweseka. Duh! Wakaanga sumu bana!
 

Yap lakini kuna timu ambazo Director of football wanafanya kazi nzuri Bayern (Summer),Barca(Zubi),Chelsea(Emenalo),Spurs(Baldini),Juve(Marota),PSG (alikuwa Leonardo)
 
Nakubali mtaleta World Class kama Bebe muda si mrefu

Angalau sisi tulitumia £7 million kumnunua Bebe

Kuna timu ili spend £42 million kumnunua {Greatest transfer flop of all time}

2 HOURS TO GO heshima ianze kurudi mtaani lol
 
Everton walikuwa ugenini arifu....sasa mkiwa nafasi ya nne (kama kawaida yenu), ndiyo kiashiria cha kusema Professor Doctor Economist Manager French Arsene Wenger atastahili kupewa mkataba mupya?

Wenger is unsackable...na kwa jinsi hali ilivyotokea Man utd baada ya,Fergie kusepa nahisi ni Fundisho tosha kwa Arsenal kuandaa Succesor wa muda mrefu anayejua management na Modern Football sio kuchagua chagua..

Oldman km akifanya usajili wa wachezaji wanaohitajika Tunafanya vizuri kitu ambacho we are yet to Observe..akileta stori zake za kila mwaka tumeisha...

Na bodi inaonekana ina rely sana kwake kuliko yeye kubembeleza mkataba...Hawajajiandaa maisha Bila Wenger may be Hii two years contract ndio watatafta Succesor taratibu
 
[h=3]Manchester United[/h]
  • 01 de Gea
  • 04 Jones
  • 03 Evra
  • 16 Carrick
  • 05 Ferdinand
  • 15 Vidic
  • 25 Antonio Valencia
  • 23 Cleverley
  • 19 Welbeck
  • 10 Rooney
  • 26 Kagawa
 
[h=4]Substitutes[/h]
  • 08 Mata
  • 12 Smalling
  • 13 Lindegaard
  • 14 Hernández
  • 17 Nani
  • 18 Young
  • 24 Fletcher
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…