Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
kama alikuwa na power ya kutimua benchi la ufundi lote kwa nini asiwe na power ya kuwongoza hao player by the way yeye ndo aliyetaka evra aendelee kubaki na yeye ndo aliyempa nani mkataba mpya wa iezi sita wakati hajamtumia na rio alikula benchii za kutosha kipindi chake pamoja na giggs sasa iweje ashindwe kuwaongoza wachezaji ambapo utawala wote upo chini yake huyu ameboronga,everton kuiongoza kwa miaka 11 ni kwa sababu hakuwa na perssur man u kuna pressure ni klabu kubwa ile,ndo maana anashindwa kuimudu akisahkuwa na wachezaji 15 ambao wote anaweza kucheza first eleven anababaika hajui amtyumie yupi na kwa wakati gani??.....#StupidOne ee?,.....for 11yrs he built that Everton FC to be the force they are today,
don't be deceived na Mercenaries mina LUKAKU, Gareth BERRY etc,....
miezi tisa mliyompa sio kigezo cha msingi kuongoza MAN UNITED hii ya kina Evra, Rio, Van Persie
na wengineo wanaojiona wataongozwaje na DM....
kwa sababu uwezo mdogo alikuwa nao wa kuiongoza man u.hana mbinu,hana mipango hajuiamchezeshe nani kwa wakati gani kwa kifupi alikuwa hauji anchokifanyana kwa nini walikuwa hawamtaki?
ahsante mkuu kwa kuwa honest mi nashindwa kuwaelewa watu wengine wanaosema eti man u hawajafanya poa kumtimua moyes eti dhambi ya timua timua itatutafuna yaani siwaelewi wanafikira kwa kutumia nini yaani favour yote aliyopewa moyes ya kukaa miezi 11 bado hajatosheka ?
soo far tunamdai #stupidone hatujamalizana nae inabidiatuombe radhi kwa kuchafua c.v yetu ya man u
Hakuna kocha yoyote Duniani ambaye angeweza kufanya maajabu na kikosi KIBOVU kama mlichonacho..kwasababu hamuwez kumpata tena Kocha wa aina ya SAF..
Ukweli ni kwamba mna kikosi KIBOVU sana Man Utd, kikosi kinachohitaji kocha mzoefu, Bora na mkali wa kuogopwa na wachezaji kama SAF, ili kifanye maajabu!!!
sasa nani ambae ana wajibu wa kukibadilisha hicho kikosi?? aliteuliwa mwezi wa tano kuwa kocha huyo moyes hwcome ashindwe kusajili mok tarehe ya mwisho wa usajili tena kwa kukurupoouka kwa machezaji ambae hatyukumhitaji? ulitaka ajae mtu amsajilie wachezaji wazuri wakati yeye ndo kocha?? kwa taarifa yako man walikuwa tayrai kuendelea na moyes hata kama angekosa nafasi ya nne lakini kborionga na kila siku kurudia kosa lilelile kumemcost. na kikubwa zaidii kutokuwa na msimamo katika mambo anayoyafdanyaHakuna kocha yoyote Duniani ambaye angeweza kufanya maajabu na kikosi KIBOVU kama mlichonacho..kwasababu hamuwez kumpata tena Kocha wa aina ya SAF..
Ukweli ni kwamba mna kikosi KIBOVU sana Man Utd, kikosi kinachohitaji kocha mzoefu, Bora na mkali wa kuogopwa na wachezaji kama SAF, ili kifanye maajabu!!!
kama alikuwa na power ya kutimua benchi la ufundi lote kwa nini asiwe na power ya kuwongoza hao player by the way yeye ndo aliyetaka evra aendelee kubaki na yeye ndo aliyempa nani mkataba mpya wa iezi sita wakati hajamtumia na rio alikula benchii za kutosha kipindi chake pamoja na giggs sasa iweje ashindwe kuwaongoza wachezaji ambapo utawala wote upo chini yake huyu ameboronga,everton kuiongoza kwa miaka 11 ni kwa sababu hakuwa na perssur man u kuna pressure ni klabu kubwa ile,ndo maana anashindwa kuimudu akisahkuwa na wachezaji 15 ambao wote anaweza kucheza first eleven anababaika hajui amtyumie yupi na kwa wakati gani??
incase kama hujuitoka moyes kachukua klabu hajawahi hata siku moja kuchezesha kikosi kimoja (first 11) sawasawa katika mechi mbil mfululizo sasa niambie wewe ueona wapi kocha hachezeshi kikosi kimoja walau katika mechi mbili mfululizo hiyo inpelekea wachezaji kutkuelewana na kuwa na consistency
sasa nani ambae ana wajibu wa kukibadilisha hicho kikosi?? aliteuliwa mwezi wa tano kuwa kocha huyo moyes hwcome ashindwe kusajili mok tarehe ya mwisho wa usajili tena kwa kukurupoouka kwa machezaji ambae hatyukumhitaji? ulitaka ajae mtu amsajilie wachezaji wazuri wakati yeye ndo kocha?? kwa taarifa yako man walikuwa tayrai kuendelea na moyes hata kama angekosa nafasi ya nne lakini kborionga na kila siku kurudia kosa lilelile kumemcost. na kikubwa zaidii kutokuwa na msimamo katika mambo anayoyafdanya
Fergie took over a team full of drunkards,while Moyes took over EPL champions[others CHAMPIONS LEAGUE WINNERS] kwahio Fergie alikuwa anajenga timu upya,Moyes ana timu ambayo imechukua ubingwa kwa 11 points,11 points i mean 11points! at least CAPITAL ONE CUP alitakiwa apate
ahsante mkuu kwa kuwa honest mi nashindwa kuwaelewa watu wengine wanaosema eti man u hawajafanya poa kumtimua moyes eti dhambi ya timua timua itatutafuna yaani siwaelewi wanafikira kwa kutumia nini yaani favour yote aliyopewa moyes ya kukaa miezi 11 bado hajatosheka ?
soo far tunamdai #stupidone hatujamalizana nae inabidiatuombe radhi kwa kuchafua c.v yetu ya man u
....CASE CLOSED, Failures ni hao wachezaji aliowakuta, sio Manager,
BTW, hivi unakumbuka Man U walichukua Charity Shield?
E bana mimi namtetea DM sio kwakuwa naipenda Man United au vipi,
ila soka la uingereza linaporomoka kwa kuendeshwa na MEDIA!
CEO ED WOODWARD kaka,....
huyo ndio aliyekuwa na dhamana ya kufanya mazungumzo na kuwasajili wachezaji MOYES aliyewataka.
Mh! Huu 'upenzi' umetoka wapi? Wewe na wenziyo si ndiyo mlikuwa mkimsimanga Moyes jukwaani?!?
Anyway, mimi nimekubaliana na maamuzi ya klabu. Kwa sababu maamuzi hayo yamefanywa kwa faida ya klabu.
Ingawa kunaweza kuwa na ukweli kwamba media UK ina influence kubwa sana katika mitazamo ya washabaki kwa makocha na wachezaji.
Ila sijui kwanini Media ya UK imegonga kisiki kwa Wenger? Ebu nipe siri ya mafanikio ya Wenger? Au kwa vile ni kipenzi cha Media ya UK kama Maureen???
sure mkuu and lets celebrate together kwa stupid one kutimuliwa chhers
bahati nzuri wanaochagua kocha hawasomi jamiiforums.
....kimenuka!.....WESHAMFUKUZA AISEE,
RYAN GIGGS ndio manager wao wa muda...(Caretaker)