Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Saiv angekuwa ashamchukua Anderson, tonal, Alvarez na Rodri😂😂
Sema tutafika levels za majina makubwa nahisi msimu ujao.
INEOS wanaenda Kwa steps
we can do things in the transfer market that other clubs can only dream of😃😃 what a bold line aseee enzi za mwamba kama mwamba😃😃
 
Unasemaje baada ya mechi ya pili?
 
Muda ukifika haya yatafanyika maana Man u kutumia hela sio shida kwao
 
Wew
Wewe jamaa yangu, unaipenda sana Chelsea mpaka sometime huna reasoning
Top four itakuwa ngumu sana msimu huu
Spurs na Liverpool watakuwa juu yenu, Spurs hawana michuano ya ulaya so Wana nafasi kubwa ya kukaa sawa kwasababu Wana kikosi kizuri kuliko chenu me nawaambia ukweli
 
Sasa mkuu Ipswich ndio team yakutambia serious?? Hapo ujakutana na Newcastle, Nottingham forest, Brighton hama Everton
Kuna wakati utafika na Kila timu itakayocheza na man utd itaonekana ni mbovu....huyo Ipswich ingekuwa amemfunga utd mngebadili lugha hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…