Manchester United (Red Devils) | Special Thread

😅😅😅 na bado
 
Kabla ya msimu kuanzia majirani mlikua mnasema msimu huu mnabeba ligi, hasa ukizingatia michezo ya mwisho carrick alivyochukua timu.

Kuna mwingine akafika mbali zaidi akasema laiti amorim angefukuzwa mapema, yani carrick angechukua timu mapema basi mngekuchukua ubingwa

Swali langu n hili hapa "nyumbu ni wachezaji wa Manchester united au mashabiki wa Manchester united?"
 
Naona tetesi tunaweza kusajili LB lewis hall au balde
Pia striker tutasajili
Game ya tano zijazo tutashinda na confidence itarudi
Lkn binafsi INEOS inabidi km wamemuamini carrick basi wawe wamemchunguza vizuri, nitamuhukumu carrick baada ya mechi tano zijazo
 
Lewis Hall wamsema hauzwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…