😅😅Man u. Ameshaanza ukuma wake.
Kuna mtu aliwahi kusema ukiona man u anacheza basi over 1.5 goal bila kutegemea upande ni uhakikaDouble chance ❌
Man u Win ❌
Man U over 0.5 ❌
Gg ❌
Second half ❌
Handcap 0:2 ❌
Hii kazi tutakuja kudata siku moja 🙌
Simba Ina shida ganiSimba shida
Man utd pia 😳
H h mabingwa wa dunia 😎Chelsea ipi unamaanisha🤣
Itakua hanamaanisha cheltaco ya akina nico JacksonChelsea ipi unamaanisha🤣
H ilikuwa n red card Mapema tuu Ila kwakuwa aliyefanya n Messi bc tuwe kimya 😂Nassoro Katuga naona utetezi wako.
So kwa mujibu wa utetezi wako unaiambia mahakama kwamba hili ni tukio la Messi akiua mbu aliyetua juu ya kichwa cha mpinzani wake?
View attachment 3655068
Double chance imetoa, Ila sasa inategemea n chance ipi umeweka 😂Double chance ❌
Man u Win ❌
Man U over 0.5 ❌
Gg ❌
Second half ❌
Handcap 0:2 ❌
Hii kazi tutakuja kudata siku moja 🙌
🤣🤣🤣 ile nayo ni timu ya kualikia watuItakua hanamaanisha cheltaco ya akina nico Jackson
Kituko sasa😆H h mabingwa wa dunia 😎
500k yangu dahMashetani mekundu kwumamae zenu mmetuchania mikeka.
Mimi nimeyaweka kwenye bet slip mbili moja yashinde nyingine yafunge goal mbili.
Kumamake zao
Timu ambayo haifahamu inapambania nini 😀🤣🤣🤣 ile nayo ni timu ya kualikia watu
Huyo ni wa kumuacha tu.Chelsea ipi unamaanisha🤣
Game moja tuu mkuu tuwape mdaMan utd ni takataka na msimu huu watapoteza point nyingi epl na uefa ajiaandae sana atapigwa tano
🤣🤣🤣🤣 Halafu leo unataka kutoka kifua mbele na kuitaja mbele ya watuTimu ambayo haifahamu inapambania nini 😀