Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Heaven na yoro ni CBs wazuri siwez kuwapuuza
Kwani arsenal nje ya gab na saliba mna depth kias gani??
Lakini sio lzm tufanane na arsenal, pia bado tunatengeneza timu nyie mnavuna timu
Unajua kwamba full backs za Arsenal zote timu walizotoka walikua wanacheza km CBs?
Timber, Calafiori, Hincapie, Ben White, Mosquera.. they can all play as CBs na pairing yenu ya Maguire na Heaven cannot match their quality.

Kwa maana nyengine hao wangekua kwenye kikosi chenu wangeanza direct, except kwa Ben White tu ambae kiwango chake lately hakieleweki.. ila hao walobaki wote wanazima km full backs pale Arsenal sababu ya uwepo wa Gabriel na Saliba kwenye maeneo yao.
 
Mkuu fuentte arsenal ametutangulia na level za kusajili majina ya kina tielemans amevuka

Km usajili wa mwaka huu utalipa, basi na sisi msimu ujao tutaanza kusajili majina makubwa maana tutataka upgrade zaidi sio maintenance
No excuse km kocha wetu ni brilliant basi itabidi a sacrifice baadhi ya mashindano ili tubakize machache ya kuchukua au kupambania
Binafsi natamani nguvu kubwa aiweke kweny EPL na kdg UEFA hizi carabao na fa azipotezee

NB: vini sidhani ataenda arsenal
 
Hao niliooridhesha wote ni CBs lkn LB na RB tunao na tunao wanaoweza kucheza CBs km shaw na mazraoul
Kuhusu depth me sioni shida, kocha na wachezaji wajitahidi tu wawe na viwango vizuri msimu huu
Lkn project ya arsenal ilitangulia, hatujiliganishi lkn kuhusu kushindana uwanjani tunaweza kushindana na nyie
 
Nyie wachovu habari zenu?

Aisee kama mnavyojua mabingwa wa EPL tuko busy na maandalizi ya kuchukua tena ubingwa msimu ujao.
Hivyo basi, msimu ukianza, tunahitaji ushirikiano wenu wa points 6, yaani kupokea vichapo kutoka kwetu nje ndani.
Michango yenu nyie na wazembe wengine akina Chelkenge, Livakuku na wengineo itatusaidia sana kufikia kusudi letu hivyo mtoe kwa moyo.

Tunatanguliza shukrani za dhati.
 
Kabebe UEFA uje uongee hapa
 
Sisi ndiyo Ze Gunners aka Wafyeka Vichaka. Kichaka cha ligi mlichokuwa mnajificha tumeshakifyeka sasa bado hicho cha UEFA Champions League. Hicho nacho tutakifyeka hivi punde tu.
Sawa sasa
Mnatakiwa muongee lugha moja na akina everton
Yanii ukikutana na Nottingham forest UPIGE 🫡
 
🚨 RYAN GIGGS: "AMORIM NDİYE ALIYEBADILISHA UTAMADUNI WA USAJILI MAN UNITED!" 🔥

Gwiji na mshindi mara 13 wa Ligi Kuu ya Uingereza, Ryan Giggs, ameibuka na kufichua jinsi kocha wa zamani wa Mashetani Wekundu, Rúben Amorim, alivyoweka msingi mpya na thabiti wa sera ya usajili klabuni hapo chini ya uongozi wa INEOS!

Giggs anafunguka kuhusu mchango wa Amorim kwenye maamuzi ya kifedha:
"Cunha alikuwa mchezaji wa kwanza INEOS kumtolea zaidi ya £60m, na sidhani kama ilikuwa bahati mbaya. Alikuwa mmoja wa walengwa wakuu wa Rúben Amorim tangu mwanzo. Kisha akafuata Bryan Mbeumo—mchezaji mwingine ambaye Rúben alimtaka kwa sababu alioshana kabisa na mfumo wa mpira aliotaka kujenga." 💼⚽

Akaangazia matunda ya usajili huo na mabadiliko ya sera:

"Wote wawili walitua klabuni na kufanya vizuri mno, tena kwa kiwango kikubwa kuliko hata wachezaji wengi ambao United ilinunua kwa ada kubwa huko nyuma. Baada ya mikataba hiyo, kila mara valuation ya mchezaji ilipoanza kuvuka £60m, United walionekana kusitasita kwenda mbali zaidi. Ndio maana naamini ushawishi wa Rúben ulikuwa na mchango mkubwa sana katika kubadilisha mtazamo na mbinu za klabu sokoni!" 🧠⚡

Giggs anaweka wazi kuwa nidhamu ya sasa ya matumizi ya pesa na usajili wa kimkakati Old Trafford ni matunda ya misingi iliyowekwa na Amorim!

Je, unakubaliana na Giggs kwamba usajili wa Cunha na Mbeumo ndio uliofundisha INEOS nidhamu ya pesa sokoni? Dondosha maoni yako hapa chini! 👇💬
 
Friendly Vs PSG

Msimu huu naona ni wetu..au bado nini wakuu
 

Attachments

  • 20260808_175737.jpg
    496.5 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…