Tukaenda okota hojland tukifikiri atakua haland😀fuentte Kuna wachezaji wengi uongozi ulizembea kuwachukua mapema kama erling Holland,caicedo na Bellingham. Licha ya ole kuwasisitizia uongozi haukuwa seriously. Na Leo hawa wachezaji ndio wanafanya vizuri naona ineos kwa kupitia Christopher vivel wameanza kuwa makini kwenye kutafuta vipaji kama huyo dogo mkolombia waliemsajili. Bisaka yule mie naona walimchukua kwa ajili ya kufanya tackling.😁
Hizi video za youtube huwa kuna mda zinadangaya pia hojlund alikua mzito sana. Hapo sijamgusia onana footwork ila 10hag(shaulini monki) sitamsahau.Tukaenda okota hojland tukifikiri atakua haland😀
Kabisa , alikua anatisha mno , 10hag pia alikua na mpira mtamu sana akiwa ajax sijui matofalini kulimfanya nini akaanza patu patuHizi video za youtube huwa kuna mda zinadangaya pia hojlund alikua mzito sana. Hapo sijamgusia onana footwork ila 10hag(shaulini monki) sitamsahau.
Tusubirie EPL ianze tuone Carrick atakapotufikisha.Kabisa , alikua anatisha mno , 10hag pia alikua na mpira mtamu sana akiwa ajax sijui matofalini kulimfanya nini akaanza patu patu
KabisaTusubirie EPL ianze tuone Carrick atakapotufikisha.
Watuletee hata huyo ili kuongeza nguvu kwenye kiungo.Kituo kifuatacho ni Manu Koné kutoka As Roma.
Ni mjinga tu ndio anaweza support wachezaji wa bei ghali au wenye majina waje utd. Wamekuja kina Sanchez, Pogba, De maria, Lukaku, Falcao na bado hawakuisaidia club. Nawalongeza wamilik wa sasa ENOES kwa kusajili wachezaji wasio na majina na wenye moyo wa kupigania club.Kuna fan wa utd ametoa mawazo kwamba, ikiwa Mbeumo, Sesko na Cunha wanalipwa 150k-180k kwa wiki na wamepambana hadi timu imerudi champions league itakuaje Matheus na Tonali wagekuja na kulipwa 200k- 250k?
Hii ingeleta shida dressing room kama ilivokua kwa Pogba na Sanchez! Nimejaribu kumuelewa hoja yake.
👏Ni mjinga tu ndio anaweza support wachezaji wa bei ghali au wenye majina waje utd. Wamekuja kina Sanchez, Pogba, De maria, Lukaku, Falcao na bado hawakuisaidia club. Nawalongeza wamilik wa sasa ENOES kwa kusajili wachezaji wasio na majina na wenye moyo wa kupigania club.
Binafs nimefurahi sana kuwakosa kina Tonal, Fernandez na Anderson. Hawa wangekuja kuharibu balance ya timu kwa kujion mastaa. United inataka average player with talent hata Christian Rinald tulimchukua alikuwa averge tukamtengeneza.
Sawa mkuu.Bora life tu , niliona kama tumepigwa za uzo
Kwamba all roads leads to baleba.Bado baleba ni mtu muhimu Kwa upande wangu.
Ineos wanajua kufanya project kuliko kina glazers
Wanajua kusajili...kwenye project mpya haifai kusajili Kwa hela nying au kutoa mshahara mkubwa.
Tutafika na msimu ujao amini tunasonga mbele Wala haturudi nyuma.
Lakini natamani tusajili baleba na CM mwingine, pia tumpate Summerville, rashfod aondoke.
Lkn kama itafaa sana tupate na left back.
Me wasiwasi upo Kwa carrick sio kweny project ya ineos
Kuhusu viungo 3 ni kipao mbele cha ineos. Lakini bila beki ya kushoto tuhesabu maumivu. Mie ninaweza kuvumilia kwa winga ya kushoto na beki ya kulia kwa sasa.Watuletee hata huyo ili kuongeza nguvu kwenye kiungo.
Kitu kinachonishangaza ni kwamba United hatukuwa na targets zetu hasa midfielders chaguo la kwanza hadi la 3 kwenye nafasi tajwa tokea mwaka jana? Suala la bei kwa EPL proven players linajulikana hivyo huu utetezi sitakubaliana nao kamwe!
Mkuu King faisal kuanzia Edesron, Santos na hata huyu Kone ni panic buys kama ilivyo kawaida yetu. Hakuna mfuatiliaji yeyote wa EPL alikuwa haoni gap la Man Utd kwenye kiungo ila inaonekana hatukufanya maandalizi ya machaguo yanayoendana na uhitaji pamoja na gharama.min -me Bagabeach fuentte Mr Mike nimejaribu kumfatilia kidogo huyu Manu Koné. Kinacho niogopesha ni kuwa na historia ya kupata injury sana. Kingine style ya uchezaji wake kwenye ligi ya series A(Italy) akija EPL labda kama Carrick atamfanya awe hatari lakini tofauti na hivyo sijui kwakweli.
Kufanya vizuri World Cup akiwa na France ni tofauti na kwenye Ligi ya EPL ambayo ni ngumu sana.
Lakini sijamaanisha kwamba ni mbovu au hafai huenda uongozi kuna kitu wameona kutoka kwake. Lakini kwangu mie naona mamadou sangare na baleba ndio wanaofaa. Nipo tayari kukosolewa kwa mawazo yangu.