Jana umemuonaje anafaa?..? tumsajili?..?Naskia Kuna mchezaji wa Brazil kasajiliwa United lkn toka world cup ianze sjaona akipewa hata dkk ππ
inamaana tuliesajali anauwezo mdogo had anazidiwa na babu casemiro? Au guameres
Kazi ipo
Sio pouwah mkuu ila mda utaongea.View attachment 3625439
Ningeshangaa sana kama ningemuona Tchouamen katua OT baada ya kukubari Paycut kwenye mshahara wake hivi kweli unawezaje kujifikilia hata kwa Dakika mbili umpunguzie mshahara Tchouamen anayepokea 210k kwa wiki huku tunae mchezaji fara tu kama Mason Mount anachukua Β£250k per week hata kama ni wewe ungeweza?..? Kwa ushawishi gani tuliokuwa nao Man u?..? kwa Kombe gani kubwa tulilobeba Recently?..? ety ni Target yetu sema shida ni moja kataki kupunguza mshahara wake yani kwa mafanikio yapi tulopata mpaka Bwana mdogo atoke zake Real Madrid aje kutua Man u ambapo huko atokako kila mechi anacheza hawa INEOS mtakuja kuniambia tu wako na shida sana yani hata kama ange Demand wage ya Β£245k wangetoa tu.
Sasa hivi wameleta Andrey Santos dogo tokea Benchi bila aibu wanamleta kwa Pauni Β£50m na muda huo kuna mtu kama Bruno G anathamani ya Β£65m -Β£60m hivi hizi ni akili kweli?..?
Na kuna interview moja nimeiona Boss mwembamba Jimmy akiporomosha nondo akidai kuwa Toka astaafu Ferguson kumekuwa na matumizi mabaya sana kwenye usajiri na kuliletwa watu ambao hata hawakufaa kuchezea Man united mfano Fred lakini naona Andrey huenda nae akawa Fred ajae,mie nachoka ndugu yenu na hii Timu.
Kusema kweli tulitakiwa kumuacha Amorin afanye sajili za msingi ndipo tumtimue kama tuliona hatufai kama manager wa United. Kinachoonekana ni Carrick anaburuzwa tu kwenye soko la usajili.View attachment 3625439
Ningeshangaa sana kama ningemuona Tchouamen katua OT baada ya kukubari Paycut kwenye mshahara wake hivi kweli unawezaje kujifikilia hata kwa Dakika mbili umpunguzie mshahara Tchouamen anayepokea 210k kwa wiki huku tunae mchezaji fara tu kama Mason Mount anachukua Β£250k per week hata kama ni wewe ungeweza?..? Kwa ushawishi gani tuliokuwa nao Man u?..? kwa Kombe gani kubwa tulilobeba Recently?..? ety ni Target yetu sema shida ni moja kataki kupunguza mshahara wake yani kwa mafanikio yapi tulopata mpaka Bwana mdogo atoke zake Real Madrid aje kutua Man u ambapo huko atokako kila mechi anacheza hawa INEOS mtakuja kuniambia tu wako na shida sana yani hata kama ange Demand wage ya Β£245k wangetoa tu.
Sasa hivi wameleta Andrey Santos dogo tokea Benchi bila aibu wanamleta kwa Pauni Β£50m na muda huo kuna mtu kama Bruno G anathamani ya Β£65m -Β£60m hivi hizi ni akili kweli?..?
Na kuna interview moja nimeiona Boss mwembamba Jimmy akiporomosha nondo akidai kuwa Toka astaafu Ferguson kumekuwa na matumizi mabaya sana kwenye usajiri na kuliletwa watu ambao hata hawakufaa kuchezea Man united mfano Fred lakini naona Andrey huenda nae akawa Fred ajae,mie nachoka ndugu yenu na hii Timu.
Mie nimeona Nikae kimya maana hawa ineos wanazo sababu nyingi za kujitetea kwa sasa hivyo ngoja EPL na UEFA ianze ili tuwahukumu vizuri.Kusema kweli tulitakiwa kumuacha Amorin afanye sajili za msingi ndipo tumtimue kama tuliona hatufai kama manager wa United. Kinachoonekana ni Carrick anaburuzwa tu kwenye soko la usajili.
Tumuuze yule Mount basi tupate hata chenji ya kumnunulia back up midfielder.
Deal ya Ederson nayo inaota mbawa, nadhani ndio maana wamewahi kutupooza na Santos.
Naona kama tunahesabia hela mfukoni sana , Santos alikua anatutaka ndio maana imekua rahisiKusema kweli usajili wa Santos ni kama sapraiz tu na sio suala lililokuwa kwenye mipango ya mwalimu/recruitment team.
Nimegundua hatuko kwenye hii hali kwa bahati mbaya.
Mbona tumezingatia mapenzi kuliko ubora wake mkuu!Naona kama tunahesabia hela mfukoni sana , Santos alikua anatutaka ndio maana imekua rahisi
Mkwanja mkuu,kwenye soko now kupata mchezaji mzuri ni kwanzia 100+Mbona tumezingatia mapenzi kuliko ubora wake mkuu!
Hii team imebaki jina tu kwa sasa
Ni heri twende ligi za wakulima kuvuna kwa bei chee tujenge timu tokea chini basiMkwanja mkuu,kwenye soko now kupata mchezaji mzuri ni kwanzia 100+
Mchezaji kama Michael olise kipindi yupo Palace tulikua tuna nafasi ya kumpata kwa hela kiduchu, tuka zingua , kina godon na wengine kibao tuNi heri twende ligi za wakulima kuvuna kwa bei chee tujenge timu tokea chini basi
Wakati mwingine huwa nahisi aidha hatua scouting team au sio wazuri kuibua vipaji toka mchangani. Wanataka ready made tu. Ndio maana walichambua wachezaji 803 ili kumpata Wanbisaka kama rightback mwenye ubora wa kipekee lakini uliona kichekesho kile Cc King faisalMchezaji kama Michael olise kipindi yupo Palace tulikua tuna nafasi ya kumpata kwa hela kiduchu, tuka zingua , kina godon na wengine kibao tu
Naona tatizo ni pesa mingi , kipindi cha amorim alimtaka nuno mendez ila bei ilikua imechangamka , wakahamia kwa Patrick dorgu kwa bei ya chini , halafu kuna ka namna yule Amorim alikua na jicho la wachezaji wenye vipajiWakati mwingine huwa nahisi aidha hatua scouting team au sio wazuri kuibua vipaji toka mchangani. Wanataka ready made tu. Ndio maana walichambua wachezaji 803 ili kumpata Wanbisaka kama rightback mwenye ubora wa kipekee lakini uliona kichekesho kile Cc King faisal
Msimu huu tujishikilie tena maana Arteta, Alonso, Maresca na Liverkuu wanaimarisha vikosi vyao wakati sisi kila kukicha tetesi zisizoishaNaona tatizo ni pesa mingi , kipindi cha amorim alimtaka nuno mendez ila bei ilikua imechangamka , wakahamia kwa Patrick dorgu kwa bei ya chini , halafu kuna ka namna yule Amorim alikua na jicho la wachezaji wenye vipaji
Mhmm ila naona msimu ujao kuna kitu tutafanya π€Msimu huu tujishikilie tena maana Arteta, Alonso, Maresca na Liverkuu wanaimarisha vikosi vyao wakati sisi kila kukicha tetesi zisizoisha
Ngoja tujipe muda mkuuMhmm ila naona msimu ujao kuna kitu tutafanya π€
fuentte Kuna wachezaji wengi uongozi ulizembea kuwachukua mapema kama erling Holland,caicedo na Bellingham. Licha ya ole kuwasisitizia uongozi haukuwa seriously. Na Leo hawa wachezaji ndio wanafanya vizuri naona ineos kwa kupitia Christopher vivel wameanza kuwa makini kwenye kutafuta vipaji kama huyo dogo mkolombia waliemsajili. Bisaka yule mie naona walimchukua kwa ajili ya kufanya tackling.πWakati mwingine huwa nahisi aidha hatua scouting team au sio wazuri kuibua vipaji toka mchangani. Wanataka ready made tu. Ndio maana walichambua wachezaji 803 ili kumpata Wanbisaka kama rightback mwenye ubora wa kipekee lakini uliona kichekesho kile Cc King faisal