Arsenal walistahili kubeba ubingwa angalau awamu mbili na hata tatu kwa hii miaka minne..Mkuu tuombe iwe hivyo maana arsenal kashatoa gundu la kutokubeba EPL kwa mda wa miaka 22. Sisi imepita miaka 13 sasa tokea tubebe kipindi cha babu ferguson 2012/2013.
Nafikiri bei walizotegemea kwa target husika(Matheus) case study, zimewazidi nguvu hivyo wanapanga formula..Mbona ghafla tumekuwa kimya kwenye soko la usajili baada ya ingizo moja tu hadi sasa?
Hiyo point ya ubovu wa wapinzani kwenye mbio za ubingwa umepiga mule mule mkuu na kiasi flani inamuondolea bingwa mtetezi uhakika wa kutetea kombe lake kwa wepesi msimu unaofuata. Hii ni kulingana na uelekeo aliokuwa nao Liverpool msimu wa 2024/25 na hali aliyomaliza nayo msimu uliofuata utadhani ni timu mbili tofauti.Arsenal walistahili kubeba ubingwa angalau awamu mbili na hata tatu kwa hii miaka minne..
Msimu ulioisha hawakuwa wanatosha, walishafika kwenye kilele Cha ubora msjimu juzi wakaona nguvu ya washindani wao wakaamua kuongeza nguvu(Zubi, Eze, Merino, na hata Victor ili kuongeza magoli)
Bahati haikuwa upande wao, sajili hazijachanganya sana..
Wamechoka, ingawa wao ndio timu imetimia zaidi kwa sasa EPL.
Nina hisia chanya kama bodi itarudia ilichofanya msimu Jana, basi tutashindana..
Baada ya Manchester City kufikia kilele Cha ubora(2023), EPL imekuwa ikibebwa kwa ubovu wa washindani kulko ubora wa timu bingwa..
Msimu Jana kama Ruben angeamua kuwa Mtu anaebadilika kulingana na na nani nacheza nae, basi Kuna tumaini timu yetu ingesumbua na ingeukaribia sana ubingwa hata kama isingeupata..
Manchester City ya bila Pep
Liverpool inayojitafuta
Spurs iliyosinzia kabisa
Chelsea yenye mawimbi,
Manchester United Ina nafasi ya kushindana na Arsenal..
Ila tu bodi isituangushe
Asante sana Mkuu..Hiyo point ya ubovu wa wapinzani kwenye mbio za ubingwa umepiga mule mule mkuu na kiasi flani inamuondolea bingwa mtetezi uhakika wa kutetea kombe lake kwa wepesi msimu unaofuata. Hii ni kulingana na uelekeo aliokuwa nao Liverpool msimu wa 2024/25 na hali aliyomaliza nayo msimu uliofuata utadhani ni timu mbili tofauti.
Kwa case ya Liverpool na Chelsea ni suala la mwalimu sahihi ila wana wachezaji wazuri waliokwisha kuzoeana hivyo haitawagharimu pakubwa kama sisi kurudi kwenye ushindani.
Ila muda ni mwalimu mzuri zaidi, tuombe vita zipoe kwa sasa tufurahie soka
Mkuu mie nishachoka nasubiria tu nione here we go maana rumors ni nyingi mno na kama tunavyojua hawa ineos sio kama glazers waliokua wanatoa pesa kubwa kununua wachezaji. Ambao wengi wali flopp na kushindwa kudelivery.Mbona ghafla tumekuwa kimya kwenye soko la usajili baada ya ingizo moja tu hadi sasa?
Mkuu Umemaliza kila kitu.Arsenal walistahili kubeba ubingwa angalau awamu mbili na hata tatu kwa hii miaka minne..
Msimu ulioisha hawakuwa wanatosha, walishafika kwenye kilele Cha ubora msjimu juzi wakaona nguvu ya washindani wao wakaamua kuongeza nguvu(Zubi, Eze, Merino, na hata Victor ili kuongeza magoli)
Bahati haikuwa upande wao, sajili hazijachanganya sana..
Wamechoka, ingawa wao ndio timu imetimia zaidi kwa sasa EPL.
Nina hisia chanya kama bodi itarudia ilichofanya msimu Jana, basi tutashindana..
Baada ya Manchester City kufikia kilele Cha ubora(2023), EPL imekuwa ikibebwa kwa ubovu wa washindani kulko ubora wa timu bingwa..
Msimu Jana kama Ruben angeamua kuwa Mtu anaebadilika kulingana na na nani nacheza nae, basi Kuna tumaini timu yetu ingesumbua na ingeukaribia sana ubingwa hata kama isingeupata..
Manchester City ya bila Pep
Liverpool inayojitafuta
Spurs iliyosinzia kabisa
Chelsea yenye mawimbi,
Manchester United Ina nafasi ya kushindana na Arsenal..
Ila tu bodi isituangushe
Kusema kweli mimi kama mimi ninaona hawa Jamaa INEOS walikuwa wanatuchota akili tu toka mwishoni mwa msimu wakidai E.Anderson ndio Kiungo wao nambali moja kwenye orodha ya usajili ila kilichotokea wenyewe mnaona hawajatuma official Bid yeyote wala kuingia mezani kuonyesha interest na mchezaji husika wakisubiri Huruma ya mchezaji.Mbona ghafla tumekuwa kimya kwenye soko la usajili baada ya ingizo moja tu hadi sasa?
INEOS Hawana shida Mkuu..huu ni mtizamo wangu..Kusema kweli mimi kama mimi ninaona hawa Jamaa INEOS walikuwa wanatuchota akili tu toka mwishoni mwa msimu wakidai E.Anderson ndio Kiungo wao nambali moja kwenye orodha ya usajili ila kilichotokea wenyewe mnaona hawajatuma official Bid yeyote wala kuingia mezani kuonyesha interest na mchezaji husika wakisubiri Huruma ya mchezaji.
Wamekuja na Tetesi ya plan B ya Tonari nayo hawajatuma Bid yeyote na nimeona wamekopa nikahisi wamekopa kuongezea Pesa ya usajili sasa hivi Tottenham wanamuwinda na washatuma Bid ya kwanza Japo imekataliwa.
Hawakuchoka wakaja na mbwebwe kuwa Tonari nae kawa na Bei ghari na muda huo hawajatuma Bid yeyote ambayo tumesikia wakaja na Mateus Fernandes & Alex Scott nazo kimya tena hasa A.Scott ndio hata kuongereki kwa Lolote.
Huyu Mateus leo nimeona ki Media uchwara Man U wametuma 75m ikakataliwa sijui kama kweli.
Hivi story za Lewis Hall zimeishia wapi tena?..?, Tuko slow na usajiri muda huo hatujachukua Winger 1 wala BackuP Attacker ujue kuna muda naanza kuogopa tunaenda kufanya nini huko Champions League.
Basi tutoke nje ya wigo wa EPL kutafuta unafuu wa bei uko.INEOS Hawana shida Mkuu..huu ni mtizamo wangu..
Soko limeyumba na bei zimepandishwa sana hasa hapo EPL..
Wanasema Wana project ya kubeba ubingwa 2028..
Mana ake 2027 lazima wawe mabingwa ama Makam-bingwa..
Hivyo mchujo ni muhimu kupata wachezaji Bora..
Elliot hajaonesha kuwahitaji Utd..
Ni kazi sana kushawishi mwanadamu ambae wazi hakutaki..
Tonali, timu yake haitaki kumuachia kwenda Utd..
Matheus, timu yake inataka kuwafanya utd jamvi la wote..hapa ndipo ugumu unatokea..
Sesko aliipenda utd
Matheus aliipenda utd na alikuwa na release clause
Brayan aliipenda utd..
Hawa wengine naona wandishi ndio wanalazimisha waipende utd..
Tutasajili bila shaka
Labda tunakosa mzee wa kazi chafu(kina Gill, Kenyon na wengine wa namna hiyo)Basi tutoke nje ya wigo wa EPL kutafuta unafuu wa bei uko.
Binafsi sikubaliani na kasi ya INEOS kwenye soko la usajili tangu kitambo. Muda unazidi kwenda na wachezaji wote wazuri wananyakuliwa na wapinzani. Suala la gharama linahusisha vilabu vyote na mbaya zaidi tuna uzoefu na hili hivyo tulitakiwa tutafute cheap alternative ya hawa EPL proven pindi mambo yakienda sivyo
Ni kama alivyosema mdau kuwa tunatafuta huruma ya wachezaji ila kushindana kwenye kushawishi au misuli ya pesa imetushinda. Angalau ili uweze kupata timu ya ushindani huwezi kupata wachezaji wote wa mafungu na kuleta ushindani kama arsenal.
Pamoja sana mkuu, nakupata vema sana.Labda tunakosa mzee wa kazi chafu(kina Gill, Kenyon na wengine wa namna hiyo)
Wazee wa Chemicals pesa ipo ila inawauma sana kuitoa..
Nafasi ya tatu tuliyoipata imewapa kiburi zaidi..
Soko la Nne lipo na ni very cheap..(Ederson)
Kuna Nmeacha na Stiller pia wamekuwa wakitajwa..nadhani Hawa kuwapata sio shida ila swali kwa maboss ni Je wataweza?
Nakubaliana na wewe kwamba, ishu ya bei sio ya timu Moja, na interval ya say paundi 3-5 na kina Spurs sio kesi kabisa ya kuvuta usajili mwezi mzima..
Naombea sajili za nafasi muhimu ziwe za EPL proven(Tonali) na huyo Matheus..
Nje labda ikiwa Aurelien atapatikana ama mkopo wa Camavinga..
Namna Joshua, Manuu, Ameabat, Anthony wamechemka, Sesko kukawia sana kukaa sawa na hata kuanguka kabisa kwa Sancho, kunafanya soko la nje kuogopwa
Ni kweli Mkuu,Pamoja sana mkuu, nakupata vema sana.
Kuweka imani kubwa ya kwamba Man Utd anatakiwa kushinda kikombe hivi karibuni ndiko kunatufanya tuogope sajili za kuziendeleza matokeo yake tunataka EPL proven ambao ni ghali sana kuwapata.
City, Arsenal na hata Liverpool wamejaribu nje ya EPL na imewalipa sababu wamewapa muda wa kudevelop.
Wakati mwingine hata EPL proven pia wanashindwa kuendana na mfumo, hivyo tuchague mfumo halafu tumtafute mwalimu anayeendana na mfumo wetu kisha tufanye sajili kulingana na matakwa ya mfumo.
Kutokana na kupewa sajili za kudumu kwaa Solskjaer halafu sasa Carrick wakati waliletwa kama walimu wa mpito, inatia shaka kama huwa tunasimamia mipango yetu au tunaendeshwa na media au hata mashabiki
Inawezekana hata uoga wa kuingia sokoni kwa nguvu unaletwa na hisia ya kutokuwa na imani ya kutosha kwa kocha wetu
Nilitaka kusema hivyo tutafte Ligi nyingine mchezaji kama ni mzuri ni mzuri tu sio Lazima hawa EPL Proven imekuwa michosho tu kila chezaji linaanzia M80+ bado wanataka mishahara mikubwa yani uhuni kila sehemu, Pia kuhusu swala la Bei kufikia sasa hivi tushaona wachezaji wote bei Ghari sio sababu Man U wanawahitaji kama Tulivyodai kipindi cha nyuma 100+m Ya Rice imewaripa Arsenal (EPL), 100+m ya Enzo imewaripa Chelsea (conference, FIFA), 100+m ya Erlin Ha... imewaripa City ( EPL,Champions League, FA).Basi tutoke nje ya wigo wa EPL kutafuta unafuu wa bei uko.
Binafsi sikubaliani na kasi ya INEOS kwenye soko la usajili tangu kitambo. Muda unazidi kwenda na wachezaji wote wazuri wananyakuliwa na wapinzani. Suala la gharama linahusisha vilabu vyote na mbaya zaidi tuna uzoefu na hili hivyo tulitakiwa tutafute cheap alternative ya hawa EPL proven pindi mambo yakienda sivyo
Ni kama alivyosema mdau kuwa tunatafuta huruma ya wachezaji ila kushindana kwenye kushawishi au misuli ya pesa imetushinda. Angalau ili uweze kupata timu ya ushindani huwezi kupata wachezaji wote wa mafungu na kuleta ushindani kama arsenal.
Siku zinazidi kwenda Tutaendelea kusajiri kwa mfumo huu mpaka mwaka Gani kwa ni Lazima Tupambanie ubingwa 2028?..? kwanini tusianze muda huu ku ili tuwe tunauona na utamu wa kufukizia ubingwa?..? na vp kama hiyo plan ya 2028 isipofanya kazi huo mwaka?..? Maana tumejipa matumaini ya kuzidi san kwenye hii Project ni kama Team zingine hawana mipango yao msimu huo wanatusubiri sisi tuje tutoe Gundu letu.INEOS Hawana shida Mkuu..huu ni mtizamo wangu..
Soko limeyumba na bei zimepandishwa sana hasa hapo EPL..
Wanasema Wana project ya kubeba ubingwa 2028..
Mana ake 2027 lazima wawe mabingwa ama Makam-bingwa..
Hivyo mchujo ni muhimu kupata wachezaji Bora..
Elliot hajaonesha kuwahitaji Utd..
Ni kazi sana kushawishi mwanadamu ambae wazi hakutaki..
Tonali, timu yake haitaki kumuachia kwenda Utd..
Matheus, timu yake inataka kuwafanya utd jamvi la wote..hapa ndipo ugumu unatokea..
Sesko aliipenda utd
Matheus aliipenda utd na alikuwa na release clause
Brayan aliipenda utd..
Hawa wengine naona wandishi ndio wanalazimisha waipende utd..
Tutasajili bila shaka
Mkuu timu ina mapungufu sehemu nyingi sana ila tunavyochukua muda mrefu kukamilisha deal moja halafu mwishowe tunarudi kutoa kiasi kile kile cha pesa.Siku zinazidi kwenda Tutaendelea kusajiri kwa mfumo huu mpaka mwaka Gani kwa ni Lazima Tupambanie ubingwa 2028?..? kwanini tusianze muda huu ku ili tuwe tunauona na utamu wa kufukizia ubingwa?..? na vp kama hiyo plan ya 2028 isipofanya kazi huo mwaka?..? Maana tumejipa matumaini ya kuzidi san kwenye hii Project ni kama Team zingine hawana mipango yao msimu huo wanatusubiri sisi tuje tutoe Gundu letu.
INEOS wako Slow sana msimu huu najiuliza msimu ulioisha walipata hamasa kwa nani kusajiri kwa haraka vile, Yangu macho Dirisha bado liko wazi acha tuone kama ulivyodai ila ninamashaka sana kama tutachukua Targets tulizokuwa tunazitaka dirisha hili na kama hayatotokea ya Weghost, amrabat na Ighalo ๐๐.
Ujue kaka United wanataka kubaki na discipline sokoni, lakini wakati fulani wanatakiwa kulipa tu ili kuepuka kukosa Top targets zetu we jifikilie ikatokea Spurs wametoa hiyo Pauni milioni 85 kwa Mateus Fernandes kutatokea nini na muda huo washasema Newcastle Tonali Bila 100+m hatoki si tumekwisha?..?Mkuu timu ina mapungufu sehemu nyingi sana ila tunavyochukua muda mrefu kukamilisha deal moja halafu mwishowe tunarudi kutoa kiasi kile kile cha pesa.
Sijui tumekumbwa na nini kwenye soko la usajili
Weghost na Ighalo๐๐Siku zinazidi kwenda Tutaendelea kusajiri kwa mfumo huu mpaka mwaka Gani kwa ni Lazima Tupambanie ubingwa 2028?..? kwanini tusianze muda huu ku ili tuwe tunauona na utamu wa kufukizia ubingwa?..? na vp kama hiyo plan ya 2028 isipofanya kazi huo mwaka?..? Maana tumejipa matumaini ya kuzidi san kwenye hii Project ni kama Team zingine hawana mipango yao msimu huo wanatusubiri sisi tuje tutoe Gundu letu.
INEOS wako Slow sana msimu huu najiuliza msimu ulioisha walipata hamasa kwa nani kusajiri kwa haraka vile, Yangu macho Dirisha bado liko wazi acha tuone kama ulivyodai ila ninamashaka sana kama tutachukua Targets tulizokuwa tunazitaka dirisha hili na kama hayatotokea ya Weghost, amrabat na Ighalo ๐๐.
Na washamalizana nae City 'Here we Go'' na imeniuma saana sana ule usiku wa Jana na ndio nazidi kuchukia tunavyopenda Tetesi kuliko usajiri.Mkuu timu ina mapungufu sehemu nyingi sana ila tunavyochukua muda mrefu kukamilisha deal moja halafu mwishowe tunarudi kutoa kiasi kile kile cha pesa.
Sijui tumekumbwa na nini kwenye soko la usajili