Huyo yeyote atakubali bila ya CL nani? Hawatapata world class players labda wajaribu kama BR alivyojaribu kwa daniel sturridge na phillipe courtinho.
View attachment 152808View attachment 152811
moyes kagukuzwa kweli duh unamuombea mungu hehehe Breaking News kashafukuzwa.Mungu plz hii romours/report iwe kweli
David Moyes is to be sacked
Mkuu hapa huna quality players. Hata SAF angekuwa bado ni kocha watu wangemfanya vibaya. Hii timu inatakiwa iwe-scrapped na waanze rebuilding asap. Butner, Cleverly, Carrick, Jones, Felaini, Welbeck, Valencia, Ferdinand, Vidic, Smalling wote ni average players and they need to go!mkuu nirekebishe kama nitakuwa wrong.
Ni hivi tukumbuke kuwa at the time Fergie anachukua Man u ni Liverpool ndio ilikuwa imetawala katika soka la uingereza na timu nyingine zilikuwa zinaibuka na kupotea na uwekezaji wa pesa katika soka haukuwepo, but ukiangalia kwasasa ambapo Moyes kachukua timu kwanza yeye kiikuta Man U ni bingwa halafu ni katika kipindi ambacho timu zingine zimewekeza vya kutosha so wakati kipindi kile ni Liverpool ndio alikuwa consistency peke yake, sasa hivi kuna Chelsea wamewekeza vya kutosha, Man City nao pia, Liverpool pia wameibuka tena, Arsenal, na Tots pamoja na Everton siyo wa kuwabeza pia so binafsi naamini ni makosa sana kufananisha era ya fergie na ya Moyes.
moyes kagukuzwa kweli duh unamuombea mungu hehehe Breaking News kashafukuzwa.
hata Kama hajafukuzwa atafukuzwa sababu Manchester United Owner wale ni Business man sio wapenda tu kutizama mpira Kama Waarabu au Mrusi na hao bado wanafukuza Manager itakuwa timu Kama Manchester United watu Kama Glazers wale wanatizama Soko La Biashara lisije kuiharibia timu Kama Manchester United Mbele huko wanapoelekea So Wamarekani nafikiri watamtoa Mapema.Mungu plz hii romours/report iwe kweli
David Moyes is to be sacked
hata Kama hajafukuzwa atafukuzwa sababu Manchester United Owner wale ni Business man sio wapenda tu kutizama mpira Kama Waarabu au Mrusi na hao bado wanafukuza Manager itakuwa timu Kama Manchester United watu Kama Glazers wale wanatizama Soko La Biashara lisije kuiharibia timu Kama Manchester United Mbele huko wanapoelekea So Wamarekani nafikiri watamtoa Mapema.
Mkuu unaonekana pakiwa na nyuzi za kumfukuza The Greatest Chosen One of all time tu. Keep Moyes!! Atawatoa kimasomaso mwakaniMungu plz hii romours/report iwe kweli
David Moyes is to be sacked
Mkuu unaonekana pakiwa na nyuzi za kumfukuza The Greatest Chosen One of all time tu. Keep Moyes!! Atawatoa kimasomaso mwakani
DonDonald muda si mrefu mtakuwa kama Tottenham kwa kuajiri na kufukuza makocha. Mkimfukuza Double agent wa Everton itakuwa mbaya hasa kwenu hamtapa vifaa toka Everton Baines, Barkley. Naomba hizi tetesi zisiwe za kweli sababu naona Daily Mail na Goal.com ni moja ya source