Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna mpira walikua wanaucheza Palace sidhani kama utachezeka na watu tisa uwanjani
 
Naona kumeanza kuchangamka huko nawasalimia tu
 
Almanusra

Your browser is not able to display this video.
 
Hii Man U bora tu uungane nayo tu kuishangilia maana unaweza kujipatia pressure za kujitakia kama utakuwa una hate watch
 
Leo na Newcastle timu yenye intensity kubwa dkk 90 ndo itashinda

leo ni kukimbia na physicallit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…