Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tutakutana mechi ya pili ujue ulibebwa na bahati
Ziache hizi nyumbu usiziamshe usingizini, hazijui mechi ya pili kukiwa hamna red card, tutapga kama mbwa mwizi.

Yaani mechi hii na liva mungu alikua upande wa Nyumbuzi, walikua wale chuma nne sema mwamba umewasaidia sana. Ila vimdomo vyao sasa!!
 
Planned thats why haikutokea.
Ziache hizi nyumbu usiziamshe usingizini, hazijui mechi ya pili kukiwa hamna red card, tutapga kama mbwa mwizi.

Yaani mechi hii na liva mungu alikua upande wa Nyumbuzi, walikua wale chuma nne sema mwamba umewasaidia sana. Ila vimdomo vyao sasa!!
ed
 
Nagawa pipi kifua kwa kila shabiki wa Manjesta kwa kumpaka pilipili kuku kishingo
🀣🀣🀣 Ila ndugu yetu Alipipi mtafutie zawadi nyingine maana pipi yeye hatumii.
Mpaka leo bado nawaza ile mechi ya kwanza Arsenyau alitufungaje?
Kuna kila dalili zinaonyesha walitumia ndumba, maana sio kwa ule mpira mkubwa tuliopiga siku ile halafu wakaishia kutufunga kwa goli la papatu papatu.
 
Ile mechi mlitupiga sana msako
 
Manjesta ni wabovu wakiwa huchez nao, na wakicheza na vidagaa
 
🀣🀣🀣 tulikua tunamlaumu Amoxilin bure, kumbe aliekua anatupiga pini ni ndugu yetu wenyewe Alipipi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ila wewe jamaa hapana kwakweli πŸ™ŒπŸ™Œ

Alipipi yupo wapi ?
 
Mimi kama mchambuzi nguli mwenye talent ID kubwa ,

GK mmepata ,Tena ana uwezo mzuri

Reflex πŸ”₯
Shot stopping πŸ”₯
Cross claim πŸ”₯
Long balls πŸ”₯
Short pass πŸ”₯
 
Rudini nyumbani kumeanza kunoga

Wale Liverpool wametuamsha usingizini tuanze harakati za top four sasa
Hofu yangu kwa United ni dhidi ya hivi vitimu vinavyochipukia na havina cha kupoteza, Ngoja tuone nini Amorin atatupatia wiki endi hii dhid ya BHA.
 
Hii ndio utd ninayo ifahamu sasa workrate ya wachezaji ipo juu mno leo naona Brighton kila wakigusa mpira wanaweweseka maana wachezaji wa utd wanafika kwelikweli.

Tulifikia pabaya sana yaani utd ni yakutunishiwa msuli na Sancho, Rashford na Garnacho kweli? Naamini sasa walipo wanajuta kucheza na brand ya utd.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…