Tatizo la utd ya sasa ni kocha na wala sio wachezaji. Ubora wa Mdeumo, Cunha na Sesko unafahamika ila kwa sasa hakuna wanachocheza, kifupi ni kuwa wachezaji hawafurahi nfumo wa kocha ni kama unawanyima kucheza. Kwa hawa wachezaji wa sasa tukipata kocha mwenye DNA ya utd kama Rud van Nestroy tunarud kweny heshima yetu.
Timu kufungwa wala sio tatizo ila sasa tunachezaje? Yaani mpira hauvutii, hatucreat nafasi yaan ni kama wachezaji huwa wanaenda uwanjani kuzuia. Hii timu inahitaji kocha mwenye rekodi ya kutisha EPL hasa kutoka utd kam Van Nestroy kiasi kwamba wapinzani tu watatishika kabla ya kuingia uwanjani.