Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sure
 
MNA UHAKIKA HUYU NI SESKO YULE TULIYEMNUNUA? ISIJE KUWA WAMETULETEA KAKA YAKE.
Kwani mkuu Sesko ana maajabu gani kumbuka msimu wake Bora amefunga magoal 13 tu Tena kwenye ligi nyepesi Kama bundasliga, unamkumbuka Timo Werner alipiga goal 25 na akachemka EPL , kijana EPL ni ligi ngumu inahitaji mchezaji aliyekomaa kiakili na mwenye energy Kama aina ya Halland. Huyo dogo anahitaji muda na ndio maana anamuondolea pressure ili aingie kwenye team taratibu
 
View attachment 3460478
King faisal mkuu huyu jamaa vipi tena mbona gafla 😀😀
felakuti Mkuu huyu ni martinez miaka 32 kipa wa Aston villa ana uraia wa Argentina, sema club yetu inachoniboa inasajili kwa kupanick matatizo yanapokua mengi. Ila bado wapo kwenye mazungumzo na Aston villa, maana kuna goli kipa kama sikosei itakua wa ubelgiji tulikua tunamtaka sasa huenda ikifeli kwa martinez akachukuliwa huyo.
 
Nimeangalia nguvu kubwa ya hii timu...nimegundua huu mwaka wetu.
 

Attachments

  • Screenshot_20250831_210102_Threads.jpg
    445.2 KB · Views: 10
Naam saivi ndio tumeanza ligi sasa, bila kusahau ligi itaisha msimamo ukiwa hivi.
1
2Arsenal Netflix
3
4
5
 
Noise neighbours
 

Attachments

  • Screenshot_20250831_215640_FotMob.jpg
    40.1 KB · Views: 12
🚨🚨: Sir Alex Ferguson on Ruben Amorim: “At some clubs, you need only to lose three games in a row and you're fired. In today's football world, with a new breed of directors and owners, I am not sure any club would have the patience to wait for a manager to build a team over a four-year period. Winning a game is only a short-term gain – you can lose the next game. Building a club brings stability and consistency."

Three years later, in 2015, Ferguson spoke to ESPN and maintained that by sticking with a manager, "you get consistency and you get success."

There's no evidence that sacking a manager gives you success," Ferguson said.

"But there is evidence at Manchester United, at Nottingham Forest, at Arsenal that [if] you retain the manager for long periods, you get consistency and you get success."

What happens next with Amorim remains to be seen, but based on his previous quotes, it’s fair to say Ferguson believes he should be given at least some more time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…