ππ Hapana kwa kweli sasa timu hii unashindwa kuifunga inakuwaje na sajili zote hizi? Aiseee hii laana ni tumetupiwa duniani,jehanam na mbinguni sio Bure.
Anorim ni kocha mzuri ila huenda ameshapoteza control ya dressing room. Wamuondoe haraka walete Rud Van Nestroy kabla mambo hayaja haribika zaidi, sioni matumaini ya utd chini ya Amorim na haya ile penalt ya juzi ya Bruno ni kama alifanya kusudi. Ukimtizana vizuri Bruno ni kama hafurahi ile nafasi anayocheza na hapo ndio dhida inapoanzia
Sasa hiyo control room ameipoteza kwa wachezaji gani? Maana wachezaji karibia 50% wa kikosi cha kwanza ni wake!
Ni kama tunatafuta kafara nyingine baada ya Pogba, Rashy, Martial, Lingard, n.k.
Sasa hiyo control room ameipoteza kwa wachezaji gani? Maana wachezaji karibia 50% wa kikosi cha kwanza ni wake!
Ni kama tunatafuta kafara nyingine baada ya Pogba, Rashy, Martial, Lingard, n.k.