mkuu hiyo 2-1 umeipata wapi? Ni 2-0 bana hata mi nimechanganyikiwa lakini we unaanza kupitiliza hebu rekebisha hiyo
Hahaaa,hii timu inabidi uwe unameza panadol ndo unaangalia,mechi zake;-)
imeshatushinda
Nsharekebisha mkuu,si unajua tena pilao la pasaka.
Bado kaka usikate tamaa
Hivi Moyes mpaka sasa hajajua kikosi chake cha 1 ni kipi? Nadhani angeanza na Welbeck afu Nani angetulia benchi Man Utd wangekuwa na nafasi ya kuwapa Everton shida.
Shidaaaaa
Nani atoke, Mata aende kule kulia, Fellaini aingie hapo kati.
kaka niko pure kabisa naombea mechi ya leeo tupigwe ili izidi kuchochea kuondolewa kwa moyes na so far everton wamefanya kweliTehtehtehtehteh! Tunashukuru kwa kuwa muwazi though wishes zako unazitoa kwa shingo upande.
kaka niko pure kabisa naombea mechi ya leeo tupigwe ili izidi kuchochea kuondolewa kwa moyes na so far everton wamefanya kweli
Na huyu moyes wetu asivyojua sub. usishangae akamtoa Jones! akamuingiza Januzaj!
Muingizeni Welbeck na Janajuzi
nani akacheze moon walk tu kiwango chake imekuwa bora wamrudishe bebe!hivi moyes mpaka sasa hajajua kikosi chake cha 1 ni kipi? Nadhani angeanza na welbeck afu nani angetulia benchi man utd wangekuwa na nafasi ya kuwapa everton shida.
Giggs na Chicharito ndo wanaweza badilisha game.