Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,903
- 9,915
Jifunze kuheshimu jitihada za watu, acha kusema goli la papatu papatu. Mbona wao hawajalipata kama papatu ni rahisi hivyo?Majirani, hongereni kwa mchezo mzuri wa jana. Ushabiki nikiweka pembeni jana mlikua vizuri kwenye kila eneo, ata goli tulilopata ni lapapatu papatu tu
Timu mnayo, amorim ashindwe yeye tu. Unapokua na watu like cunha, mbeumo, sesko moja kwa moja watu watataka matokeo
Usajiri wenu umeonesha impact for 90%, mazee timu mnayo
Jambo ambalo arsenal ashukuru ni kumalizana na nyumbu OT kabla gari halijawaka vizuri
Cunha sesko mbeumo mkienda vizuri na hii front line bila majerui, itakua hatari sana msimu huu
Ukiona kipa ndio man of the match, ujue hali haikuwa shwari
Lengo ni kufungwa, haijalishi umefungwaje. Kama ni rahisi kupapatua jiulize mbona wao hawajapapatua wakapata.
Hata pia ukisema wamebahatisha basi ujue bahati ilikuwa upande wao.