King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,980
- 4,942
Nimeshakuambia hiyo ni takataka.Lakini huyo ni Bora kuliko sesko
Yeye na sesko wapo daraja moja Kama mlikuwa mnataka striker mzuri wa uhakika mngeenda kwa Osimen au isak huyo Sesko Hana consistency performance game chache atafanya vizuri zingine ataharibu mmetumia pesa nyingi kwa mchezaji wa kawaidaNimeshakuambia hiyo ni takataka.
Pale kati hakuna kitu atleast maino alivoingia.Dah! wakuu mbona kama team yetu bado sana
Bundesliga aisee si mchezo siwaamini sana 😂...Kuna Werner jumla ya goli alizofunga bundelsiga n zaidi ya 60..alivyokuja epl Sasa😂....Kuna mwamba anaitwa taiwo awoniyi huyu mwamba Kuna Msimu alifunga goli 15 akiwa bundesliga lkn Msimu wa mwaka Jana epl akiwa na Nottingham forest kafunga goli moya 😂😂tu sijui alipata majeraha au vipi..mifano mingine kina weghostYeye na sesko wapo daraja moja Kama mlikuwa mnataka striker mzuri wa uhakika mngeenda kwa Osimen au isak huyo Sesko Hana consistency performance game chache atafanya vizuri zingine ataharibu mmetumia pesa nyingi kwa mchezaji wa kawaida
Mount pamoja na Fernandez kuanza pamoja huwa ni dizaster kila siku...Pale kati hakuna kitu atleast maino alivoingia.
Baleba mleteni tu.
Hawa akina casement na bruno wake kwenye hio cm ni uongoooo
Tuwaongezee hela auPaundi million 60 View attachment 3436955
Time will tellYeye na sesko wapo daraja moja Kama mlikuwa mnataka striker mzuri wa uhakika mngeenda kwa Osimen au isak huyo Sesko Hana consistency performance game chache atafanya vizuri zingine ataharibu mmetumia pesa nyingi kwa mchezaji wa kawaida
Aaaah! boss mbona mapema ushaanza kumpopoa Sir. Alex Ruben Amorim kaa kwa kutulia bado siku 6Mount pamoja na Fernandez kuanza pamoja huwa ni dizaster kila siku...
Ishaprove failure sijui kwann Amorim anangangania hili
Hili ni tangu msimu ulioishaAaaah! boss mbona mapema ushaanza kumpopoa Sir. Alex Ruben Amorim kaa kwa kutulia bado siku 6
Halaand vp mkuu? Mbona kafanikiwa EPL kutokea budesliga.Yeye na sesko wapo daraja moja Kama mlikuwa mnataka striker mzuri wa uhakika mngeenda kwa Osimen au isak huyo Sesko Hana consistency performance game chache atafanya vizuri zingine ataharibu mmetumia pesa nyingi kwa mchezaji wa kawaida
Huyu sesko kamaliza ligi na goal 13 kwenye ligi nyepesi Kama ya bundesliga Halland alikuwa anapiga goal 30 huwezi kumfananisha na huyo Sesko Mimi nawaambia ukweli mnaleta ushabiki Sesko ni mchezaji wa kawaida ni Bora mngemchukua Jackson angewaoffer vitu ni mchezaji ambaye tayari ameshacheza ligi ngumu hii ya EPL naametupia goal 14 na assist 6, magoal 14 ya EPL yanathamini kulingana na ubora wa ligi kuliko magoal 13 ya SeskoHalaand vp mkuu? Mbona kafanikiwa EPL kutokea budesliga.
Then de gea anaweza kuja united kumbuka ni biashara na project sio mapenzi na Bado tunampa heshima ya legend, lkn nadhani donaruma na Martinez ndio Wana nafasi ya juu kujiunga nasi
Huu mfumo wetu. Haumtaki Bruno acheze katikati kwenye Ile 4 ( 3: 4: 2: 1) ya kati, timu inakosa balance kwenye ukabaji Kwa sababu sio namba nane, sio namba sita na Hana sifa za ukabaji Wala speed ya kukaba nafasi na mtu.
Bora pale amuweke ugarte na baleba.
Afu cunha na fernades wanakuwa wacheze position Moja kwenye Ile 2 ya juu ( 3: 4: 2: 1).
unaonaje, si bora atimuliwe si ndiyo. Amorim atimuliwe tuHili ni tangu msimu ulioisha
ukweli mchungu huu, Maiko Jackson angewafaa sana. Ben mwanseko ni kama Timo Werner tuHuyu sesko kamaliza ligi na goal 13 kwenye ligi nyepesi Kama ya bundesliga Halland alikuwa anapiga goal 30 huwezi kumfananisha na huyo Sesko Mimi nawaambia ukweli mnaleta ushabiki Sesko ni mchezaji wa kawaida ni Bora mngemchukua Jackson angewaoffer vitu ni mchezaji ambaye tayari ameshacheza ligi ngumu hii ya EPL naametupia goal 14 na assist 6, magoal 14 ya EPL yanathamini kulingana na ubora wa ligi kuliko magoal 13 ya Sesko
Huyu sesko kamaliza ligi na goal 13 kwenye ligi nyepesi Kama ya bundesliga Halland alikuwa anapiga goal 30 huwezi kumfananisha na huyo Sesko Mimi nawaambia ukweli mnaleta ushabiki Sesko ni mchezaji wa kawaida ni Bora mngemchukua Jackson angewaoffer vitu ni mchezaji ambaye tayari ameshacheza ligi ngumu hii ya EPL naametupia goal 14 na assist 6, magoal 14 ya EPL yanathamini kulingana na ubora wa ligi kuliko magoal 13 ya Sesko
dah!, aisee ile heshima kwa bingwa wa dunia imepotea kabisaMwamba hili povu lote linakutoka kwa sababu tu msimu huu tumegoma kununua bidhaa zenu chakavu?
Kiufupi nyie ni matapeli na hatuna mpango wowote wa kununua wachezaji wenu, tena mlivyo na roho mbovu mlikua mnatushawishi na kutushinikiza kabisa tumnunue Nkunku na Jaskon dirisha hili.
Hivi nyie Chelkenge hua mnatuchukuliaje?
Endeleeni kuwapiga haohao Arsenyau, sisi tayari tumeshawashtukia janja yenu mazulumati nyie. View attachment 3437304
dah!, aisee ile heshima kwa bingwa wa dunia imepotea kabisa